Recent content by Dalbergia zone

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Umejitahidi kuchambua. Hongera sana
  2. D

    JamiiForums Tanzania Magufuli kazi anayo

    Anasubiri ilani ya chama
  3. D

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Jiji litashindwa kumudu idadi ya wageni wanaozidi kuongezeka kila kukicha!

    Twaomba heri, yaishe salama haya.
  4. D

    JamiiForums Tanzania GE2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

    kama anafanya kampeni badala ya kutafuta wadhamini, kwanini asikubalike?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kuwa na wabunge wengi wasio na elimu ya chuo kikuu ni dalili za kuporomoka kwa elimu ya Tanzania

    kwa sasa ubunge watu wameugeza fulsa, kwani waliowengi wanatulaghai kwa kutuambia yanayotukwamisha wakati mioyoni mwao vipapaumbele vyao ni mambo yao binafsi.
  6. D

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

    jaman huyu mtangazaji wa star tv vipi anaongea yeye tu hata maswali hatusikii.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi UDOM: Wasilaumiwe wanaojiuza kwa serikali kuchelewesha fedha za kujikimu

    hata watakapojiuza, wakipatwa na maswaibu huko watakakonunuliwa nao wasiilaumu serikali.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Daraja la mto Wami umezingatiwa?

    kiukweli, ajali nyingi pale wami zinasabishwa na daraja. Maana dereva anawaza mteremko mkali pamoja na zamu ya upitaji darajan.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kama hatua hii ingechukuliwa tanzania,mbunge gani angeathirika?

    mh! sheria hii ikiwekwa nchini, labda ifanyiwe maboresho kwa kuwaadhibu wasiosinzia vyinginevyo itawakumba wengi.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Utandawazi usikutawale ukakosa maadili

    Nakubaliana na ujumbe wako. ifike wakata utandawazi utumike kwa kuzingtia muongozo wa maadili.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Foleni ya hatari leo, Imeanzia Mabibo hostel mpaka Tazara

    Tanzania bila foleni haiwezekani.
  12. D

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    ameen. viva barca
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mama mwenye nyumba aifukuza maiti ya aliyekuwa mpangaji wake!

    Hata hili Mungu alipanga kweli? any way, rest accodingly.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje unamsevu mtu kwenye simu jina lisilo lake?

    mh! ufundi upi kaka?
Back
Top Bottom