Foleni ya hatari leo, Imeanzia Mabibo hostel mpaka Tazara

Foleni ya hatari leo, Imeanzia Mabibo hostel mpaka Tazara

magamlay

Member
Joined
Sep 19, 2014
Posts
88
Reaction score
38
Hivi leo kuna nini jamani, foleni ya Tazara iko mabibo hostel, masaa mawili toka Ubungo mpaka mwananchi. Kwa hali sijui tunaenda wapi!
 
Wangeikodi Helicopter ya Ndesamburo kuwapokea kina Nkurunzinza kuwapeleka ikwullu.

Angalizo wasije wakampa rushwa ya jina kwamba ikulu yetu ipewe jina "piere nkurunzinza" kama kishawishi ili asigombee uprezidenti kule bujumbura.
 
Aisee..! masaa matatu nimemalizia hapo.., this country is now becoming a joke, frankly speaking..!

Foleni ya Laana.PNG
 
Pia kuanzia buguruni mpaka segerea
 

Attachments

  • 1431514885249.jpg
    1431514885249.jpg
    63.3 KB · Views: 395
Nimetumia masaa manne na nusu toka ubungo ndo nafika tazara. Kweli kazi kweli...
 
Jesh la burundi nasikia wanaongoza nchi, alipofika tu uwanja wa ndege,.
 
Nkuruzinza kwanini asumbue mamilioni ya watu yeye mtu mmoja tu jamani?sie waafrika hata haikua na haja ya kumfanyia mkutano marais hao wote wangekubaliana wstoe tamko nkuruzinza awachie madaraka angepelekewa ujumbe sasa mpaka kukutana ni kuzidi kusumbua tu kundi kubwa la watu
 
hawa traffic wamesimama barabarani kama wanajiuza yaani mnazi mmoja gari hazitoki wala kuingia yenyewe ipo tu imesimama inaniuzi...!!!!
 
Huyu nkurunziza majanga maputu anatuletea kule kigoma kuna jam uku dar kuna jam
 
Back
Top Bottom