Kiwanja kinauzwa uzunguni mbeya tshs 250m ni eneo zuri la kujenga nyumba za kupangisha au makazi kwani makampuni mengi yànapenda kupanga nyumba maeneo ya uzungun. wasiliana nami 0754060350
Nyumba inauzwa sokomatola mbeya tshs 35m.sokomatola ni mji unaoanza kufufuka baada ya watu wengi kununua nyumba na kuzifanyia ukarabati. ni mji uliopangika vizuri kimitaa jirani na chuo cha utimishi. Wasiliana nami 0754060350;
Nyumba inauzwa eneo la itezi mbeya tshs 50m mazungumzo yapo. Ina vyumba vinne vya kulala, sebule, chumba cha chakula na jiko, mabanda ya uani kwa ajili ya mifugo, bustan ipo kwenye uwanja wa eka moja. Kwa mawasiliano wasiliana nami 0754060350
Nyumba za kupanga mbeya ipo ya dola 450 uzunguni, dola 800 hizi zina kila kitu ndani. Vyumba vitatu vya kulala self contained, sebule kubwa na chumba cha kulia chakula. Forest mpya zipo za lak 250, 300. Mawasiliano 0754060350
Je unatafuta nyumba za kununua, viwanja, mashamba, yard, viwanja vya biashara barabarani kama vituo vya mafuta, bank nk. Yard zinapangishwa Soweto mbeya. majengo kwa ajili ya matumizi ya maofisi makubwa kama bank yanapangishwa ktkt ya jiji la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.