TUNABADILI MAWAZO YAKO KUWA SOFTWARE.
Nyumbani creative ni kampuni yenye team iliyojitosheleza katika kupokea mawazo yako ya mfumo taarifa (data system) wa kazi zako na kuziweka katika mfumo wa programu za kompyuta (software).
Walengwa wa kubwa katika kazi zetu ni wale wanao tumia mfumo wa...
Nyumbani creative ni kampuni yenye team iliyojitosheleza katika kupokea mawazo yako ya mfumo taarifa (data system) wa kazi zako na kuziweka katika mfumo wa programu za kompyuta (software).
Walengwa wakubwa katika kazi zetu ni wale wanao tumia mfumo wa makaratasi katika kuhifadhi data.
Lakini...
Ni kweli, ila pia tunahitaji technical people kawasababu hata ukianzisha kiwanda leo, kuwapata watu technical ni a problem. mf. juzi kuna kiwanda cha cement hapa nchini imebidi waajiri wafanyakazi wenye diploma ya mechanical na electronics kutoka India kwasababu kila mtanzania anaekuja mwenye...
Kuna siku nilisema hii mikopo inaotolewa vyuoni halafu mtu anatoka chuo hana kitu anasubiri ajira for years na hapati, mikopo hii ingeenda veta na wakawasponsor hawa wanafunzi wanaoenda kusoma degree ambazo asilimia kubwa haziwasaidii sahivi tungekua na jamii ya tofauti sana.
Kuroot simu na kuapgrade sio idea nzuri siku zote maana zinakujaga kusumbua. kama samsung hawajaiachia hiyo version kwenye updates za simu then mara nyingi inakua na risks nyingi mf. Simu kuisha charge haraka, wireless kugoma kuwork, network kusumbua, na warranty inakua violated nk. but kama...
Sio rahisi kama unavyodhani. marekani yenyewe inashindwa kuwabana hawa jamaa, kuna kitu inaitwa corporate inversion.
kampuni nyingi zinachofanya ni kuhamisha makao makuu yao kutoka marekani kwenda nchi kama Ireland wenye kodi ndogo ya 12.5% ukilinganisha na kodi ya marekani ambayo ni 35%. So...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.