Recent content by daktarii

  1. daktarii

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Na kuna mshikaj mmoja alivaa mabomu akaenda makao ya jwtz Dodoma , akaenda na vyeti , kufika getin akatarget mlinzi mmoja akaomba kuongea nae ... Kamwelezea matatizo yake akamuomba kama atapendezwa amruhusu akamuone afande wa utumishi .... Yule mwana alifanikiwa kupata mtu ambaye alimpambania...
  2. daktarii

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Wapambanaji msikate tamaa , nlifanikiwa kuingia kwenye majeshi haya Kwa mbinde lakin nilifanikiwa ..... Na ukipata mbanga inakua kitonga zaidi . Kama juzi kuna Mzee mmoja alikua anatafuta vijana kutoka familia zenye maisha magumu na waliosoma either diploma o degree , idadi ya watu 30...
  3. daktarii

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    JW [emoji91] nayo nasikia soon wataanza kuita watu waende kwny course .
  4. daktarii

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Magereza walikua baadhi ya vikosi Jana na Leo wakifanya usaili wa Askari .
  5. daktarii

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kozi ni ngumu Sana kuna ambao wamevunjika na kuumia Sana miguu na mikono . Ndo wamerudishwa makao makuu . .....
  6. daktarii

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Dah monduli sio pazuri , kibangala cha Kwanza kisharudishwa makambini ... Wale walioenda juzi military science (madaktar+maengineer)
  7. daktarii

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kujiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)

    Hivi Kwann wamesema waende na track suit na Raba watu walioitwa kwenye usaili
  8. daktarii

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Teyar uko
  9. daktarii

    JamiiForums Tanzania Hivi unaanzaje kuwashtaki Qnet?

    Walinionesha hii pcha nkawaamini [emoji28] , ... Nkawaambia hyo 4.8m sina cash hapa , wakanshauri nkauze mbao za mzee nije niwape , eti nkishakua tajiri ntamrudishia mzee mbao zake [emoji28].. dah ningekua nalia sahiv Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
  10. daktarii

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa kulipia 'Kumuona Daktari' Hospitali si sahihi

    HELA YA CONSULTATION HACHUKUI DAKTARI ILE NI KWA AJILI YA HOSPITAL KUWEZA KUJIENDESHA NA KUMLIPA MSHAHARA YULE DAKTARI ANAYEKUHUDUMIA . Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
  11. daktarii

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa kuchunga ng'ombe

    Kuna ngombe wakubwa 3 na ndama 3
  12. daktarii

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa kuchunga ng'ombe

    Umeelezea vizuri Kaka , sio lazima uwe wewe ... Lakin kama Una MTU unamfaham anaitaji kaz ... Kazi ipo
  13. daktarii

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa kuchunga ng'ombe

    Natafuta kijana wa kiume anayejua kutunza ng'ombe. Awe anajua kukamua maziwa pia Mahali: Bagamoyo Mshahara: 70000 kwa mwezi + atapewa chumba cha kukaa + atapewa chakula. Kama unaitaji nchek 0710660264
  14. daktarii

    JamiiForums Tanzania Nahitaji dada wa kazi za ndani

    Mingowi
  15. daktarii

    JamiiForums Tanzania Nahitaji dada wa kazi za ndani

    Bado mkuu
Back
Top Bottom