Recent content by Daktari wa mifugo

  1. Daktari wa mifugo

    Ningejua nisingeoa maishani mwangu

    Mkuu usiwe mvivu wa kufikiria,usipende kufuata kauli za wenzako eti kisa baba anajuta kuoa na wewe ujute maisha ayapo hivo ata Mwenyezi Mungu aliweka ndoa akiwa na maana yake,kaa utulize akili kwa kila jambo unalotaka kufanya
  2. Daktari wa mifugo

    Ugonjwa wa Kisonono (Gonorhea): Dalili, kinga na tiba yake

    Fanya fasta kamuone Daktari hao ni bakteria wanaongezeka kila sekunde ndugu yangu
  3. Daktari wa mifugo

    Maandalizi

    Mambo mengi tu
  4. Daktari wa mifugo

    Kila tukionana mpenzi wangu anataka kusex, nifanyeje ila apunguze?

    Duh uyo hana time na wewe bali anatym na mwilu wako
  5. Daktari wa mifugo

    Maandalizi

    Jamani eeh! Mwenzenu ndo nimeingia leo JF naombeni mnipokee ndugu zangu JF
  6. Daktari wa mifugo

    Dr. Slaa: Sina Mpango wa kugombea Urais 2015

    Dah mzee hana uchu na madaraka kabisa
Back
Top Bottom