Nchi hii imejaa wajinga sana, watu waliokosa utaifa wenye roho mbaya na chuki kubwa mioyoni mwao. Wanapokea everything negative, na wanabeza anything positive. Leo wanamshambulia huyu, kesho wanamshangilia. Hawana principles.
Katika vitu ambavyo madola ya kifalme ya kiarabu yanachoogopa ni Vita hiyo, Saudia hawawezi kuruhusu Hilo wanajua kuwa minyororo waliyowafunga wananchi wao kwa miaka mingi itakuwa ni mwisho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.