Recent content by dadysean

  1. dadysean

    New Project - Arusha

    Mkuu... Ni kweli hii kitu??
  2. dadysean

    2005 Toyota Mark X inauzwa

    15ml. Cash
  3. dadysean

    Toyota Raum (Nyeusi) inauzwa

    4.8 cash
  4. dadysean

    Toyota Passo inauzwa Bei 9 million

    9mil. Unapata alteza kaliiiiii na chenji inabaki nyingi tu
  5. dadysean

    Nyumba mpya ya kisasa inauzwa

    Umeona ata ww mkuu... Maana hiyo ml250 unapata kiwanja kikubwa kama icho na unajenga nyumba nzuri kuliko hiyo na chenji inabaki nyingi tu
  6. dadysean

    Hapa ni kwa wanawake tu

    Kwanza ww kabila gani? Maana maandishi yako kama muindi aisee!!
  7. dadysean

    Radio 5:Meja Joseph Masawe asema Diamond hana ruhusa ya kutumia nguo za Jeshi

    Mi mgeni kweli nilikuja ile siku ya fiesta nimetokea uryankulu
  8. dadysean

    Radio 5:Meja Joseph Masawe asema Diamond hana ruhusa ya kutumia nguo za Jeshi

    Sasa hapo upelelezi wanini wakati kidhibiti kipo? Upelelezi ushakamilika tangu fiesta jua ivyo
  9. dadysean

    Hivi Haya ni halali kwa Diamond?

    Mi mwenyewe nilitaka nipite lakini yakanishinda ikabid niseme ako kastory japo kidogo ili watu wajue jamaa alipotokea mashauzi yamemzidi jamaa mpaka watu wanamchukia sasa
  10. dadysean

    Hivi Haya ni halali kwa Diamond?

    Huyo domo asijishaue mbele za watu bana alaah! Kwani mbona alikua analala guest ya buku8 pale sinza kumekucha inaitwa (elizabet lodge) walipokua wanakaa machangudoa wa ambianc, tena na yeye ndomo alikua anaishi pale guest na dem mmoja wa ki'tanga anaitwa tuti na huyo tuti ndio aliemtoa ndomo...
  11. dadysean

    Mdogo mdogo remix

    Wangu unamineno mweee... Mi siwez kubishana na ww ata kama nakudai itabid niwe mpole tu tena na tarehe ya kuja kudai unipangie mwenyewe, maana nikija kudai kwa pupa ntachezea michambo mpk ntachizika. Au ntasamee tu maana mmh!
  12. dadysean

    Mdogo mdogo remix

    Hahahahahaaa... Naipenda jf kwa vimaneno km hv daaah... Uko vizur sn wangu umetoa doz kinoma noma mweee
  13. dadysean

    Mdogo mdogo remix

    Kwani uo kaimba domo??? Si ndo kishatunga tena au? Usiwe papara soma utunzi vizur aisee. Roho zinawauuuuuuuma wenyewe team tandale mweee mbona kazi mnayo mwaka huu kwa kuumaliza vby, kama nakuona vile unavosoma hii txt yangu unataman unifanye nini sijui hahahahaaa... Pole eeeeh
  14. dadysean

    Picha: H. Baba, Florah ndani ya mjengo mpya

    Wamepanga nyumba nzuri sawa.... Mbona gari mbaya ivo? Kama chuma chakavu au tax za dodoma mweee
Back
Top Bottom