Mdogo mdogo remix

Mdogo mdogo remix


E bana kuna comment yako moja ile umesema tangazo tangazo kila nikiitafuta nataka nikuongezee like siioni, au mods wameitoa. Yaani lile ni bandiko la wiki, kila nikiifikiria nashindwa kuamini kama we umepinda kiasi kile.

Hhhhhaaaa ni dawa kwelii kuna watu wameitumia wamefanikisha,unajua k ikitema, au ukionekana unaachwa achwa,au mwanaume hakujali jichunguzew maana uzima wa mwanamke ni K,au siooo
 
Wewe sema tu kuna mtu wako mwenye hilo tatizo upewe dawa acha kuzunguka zunguka,ooh dawa imeisha...ooh unalitafuta tangazo

​Hilo kwangu sio tatizo, hizo za maji maji mi ndo nazipenda, napenda kuogelea bwawani.
 
Ungetunga wako sio kudandia!

Kwani uo kaimba domo??? Si ndo kishatunga tena au? Usiwe papara soma utunzi vizur aisee. Roho zinawauuuuuuuma wenyewe team tandale mweee mbona kazi mnayo mwaka huu kwa kuumaliza vby, kama nakuona vile unavosoma hii txt yangu unataman unifanye nini sijui hahahahaaa... Pole eeeeh
 
Hahahahahaaa... Naipenda jf kwa vimaneno km hv daaah... Uko vizur sn wangu umetoa doz kinoma noma mweee
 
Tatizo sio maji tatizo ni mnuko

Wangu unamineno mweee... Mi siwez kubishana na ww ata kama nakudai itabid niwe mpole tu tena na tarehe ya kuja kudai unipangie mwenyewe, maana nikija kudai kwa pupa ntachezea michambo mpk ntachizika. Au ntasamee tu maana mmh!
 
Kwani uo kaimba domo??? Si ndo kishatunga tena au? Usiwe papara soma utunzi vizur aisee. Roho zinawauuuuuuuma wenyewe team tandale mweee mbona kazi mnayo mwaka huu kwa kuumaliza vby, kama nakuona vile unavosoma hii txt yangu unataman unifanye nini sijui hahahahaaa... Pole eeeeh

Mimi watu wenye wivu huwa hawanisumbui hata kidogo maana hawana hoja ya msingi!
 
Ndio nakushangaa wenzio wanadandia baiskeli wewe unadandia wimbo!

Dada mtihani wako wa QT unaanza lini? usije ukafeli kama mwaka jana kisa kushinda Jf kuangalia wanaume wamepost ni ni.
 
Dada mtihani wako wa QT unaanza lini? usije ukafeli kama mwaka jana kisa kushinda Jf kuangalia wanaume wamepost ni ni.

Ha Ha Ha! Sijui kwa upande wako ukoje maana twashinda wote. Any way tukitaja ma GPA hadharani kwa hulka za kiswahili yataanza mengine hapa maana tunayashuhudia kwa Diamond.
 
Aaah Oh Nimetembea tembea adi show za Ulayani,
Ila sijawai zomewa FIESTA ndo namba one,
Nlitaman nishuke nlishindwaa,
Zitatapakaa scandal najuaaa,
Midomo ya binadam michafu sana,
Tena ni wana haram hawana mana,
wana wivu hooo
haoo haoo
wachonganishi haoo
haoo haoo
Sikupenda nimwone davido nae anazomewa ndo mana nkapanda jukwaan kumtetea
skupenda nimwone davido akizomewaaa utam wa collabo naee ukala kwaaangu
aha Ali kiba kanshindaje mbna ni bwana mdogo
nauliza kanshindaje uyu bwana mdogo

Kama kweli vile! Duhhhhhhh kamuombe mshikaji uitoe kwenye media mkuu
 
Back
Top Bottom