mkuu, naomba specification za latest Samsung 50" uliyo nayo kama vile resolution, HDMI na USB port ni ngapi etc. Bei yake na ni Egypt, South Afrika, Korea au Taiwan? Pia naomba ushauri kati ya Samsung na LG ipi unashauri zaidi kwa uzoefu wako wa sokoni na matumizi kama bajeti inaruhusu?
Wakuu mliotangulia kumiliki TCL 55" naombeni uzoefu wenu kuhusiana na ubora wa TV, uimara, umri wa MAISHA yake na cha muhimu zaidi kwangu ubora wa picha. Nataka kushuka kwenye Samsung nipande TCL.
Nawasilisha.
Najaribu kuwaza kwa sauti, wote tunajua kazi za chuma kwenye ujenzi, kwa mtazamo wangu chuma kimefanya yaliyotarajiwa kuweka imara jengo na chochote kinachojaribu kudhoofisha jengo kikikutana na chuma ni lazima kisambaratike kwa manufaa ya jengo letu. Asante Rais mstaafu JK kwa kutuletea chuma.
Daah! wewe kweli wa kimataifa, kwa uelewa wangu mdogo huwa najua kanuni ya first emergency responder inasema "Your safety is first, so leave the scene if you are at risk, don't be the next victim.
Tatizo letu kubwa Watanzania ni kujadili mambo kwa upeo wetu jinsi tunavyofahamu badala ya kupata elimu au maelezo kutoka kwa wahusika TCRA. Mimi nimejaribu kupata muda na kufuatilia hili suala limekaaje kutoka kwa wahusika. TCRA inaongelea umiliki wa line zaidi ya moja ya mtandao mmoja na sio...
Tatizo letu kubwa Watanzania ni kujadili mambo kwa upeo wetu badala ya kupata elimu au maelezo kutoka kwa walengwa. TCRA inaongelea umiliki wa line zaidi ya moja ya mtandao mmoja na sio umiliki wa line zaidi ya moja za mitandao tofauti. Suala ni kwamba unakuta mteja mmoja wa Voda ana line zaidi...
Maelezo ya TCRA yanaonesha kutulinda watumiaji wa FTA channels ili tuzipate bure. Kama king'amuzi kimeisha basi wakate za wageni ila za nyumbani zibaki hata kama mtu kashindwa kulipia subscription channel's.
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. JPM, kwa niaba ya wapenzi wa mpira wa miguu nchini, napenda kutoa shukrani za dhati kwa kutuletea uhondo wa kombe la dunia Juni 14 - Julai 15 tukiwa majumbani mwetu kupitia Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kwa kushirikiana na TV1. Kwa...
By Sharon Sauwa, Mwananchi; ssauwa@mwananchi.co.tz
Dodoma. Zikiwa zimepita siku kadhaa tangu wabunge wa Ukawa kuanza kususia vikao vinavyoendeshwa na Naibu Spika, Dk Tulia Ackson, mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa amewasilisha hoja ya kumwondoa madarakani kwa madai ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.