Recent content by dadiiii

  1. D

    JamiiForums Tanzania Polisi wamkamata kijana aliyekuwa anakusanya maoni Kariakoo

    Wakukamatwa ni twaweza kwa kufanya tafiti za kihuni.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Polisi wamkamata kijana aliyekuwa anakusanya maoni Kariakoo

    Viroba mmekunywa nyie mnaofanya tafiti za familia.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Polisi wamkamata kijana aliyekuwa anakusanya maoni Kariakoo

    Wahuni nyie mnaofanyia tafiti kwenye ofisi za magamba.mmeshtukiwa.
  4. D

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Wamezoea magoli ya mkono.mwaka huu hawatoboi.
  5. D

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Lowasa atakupa elimu bora ili uwe unaelewa.unaambiwa kura ni moja tu.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Hivi ukiwa mwana UKAWA huruhusiwi kukosoa chochote ndani ya UKAWA?

    Ukiona mtu anaweweseka kama wewe ujue umebakiza dakika chache kukata roho.hata hivyo sio kosa lako, wengi wenu huko mmekata tamaa mnatafuta pakujishika, shame!
  7. D

    JamiiForums Tanzania Picha: Lowassa akiwa Kigoma

    Naona umelegea, unaanza kuzungumzia makabila ya watu.mwaka huu wakabila Kama wewe hamna nafasi.aibu!
  8. D

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri UKAWA na Waandishi: Wajibu tuhuma za Dr. Slaa

    Acha kijifariji kijana, ukubali ukweli atakama unauma! Ha ha ha! Risasi ya mwisho imepotea, aibu!
  9. D

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri UKAWA na Waandishi: Wajibu tuhuma za Dr. Slaa

    Nyie Jamaa hamna shabaa! Ha ha ha! Risasi ya mwisho imepotea.aibu!
  10. D

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri UKAWA na Waandishi: Wajibu tuhuma za Dr. Slaa

    Acha wenge! Jisalimishe.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri UKAWA na Waandishi: Wajibu tuhuma za Dr. Slaa

    Risasi yenu ya mwisho imekosea target! Pole! Jisalimishe.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri UKAWA na Waandishi: Wajibu tuhuma za Dr. Slaa

    Wewe ni msemaji wa slaa?
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ufisadi waibana CHADEMA, Mengi atema cheche wagombea wala rushwa

    Wenyewe ni wauza unga na wauza pembe za ndovu na waliogawana escrow.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Usanii mpya wajitokeza Tanzania

    Mwisho wa serikali ya mizigo ni store! Fungia fisiem a.k.a mizigo store.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Usanii mpya wajitokeza Tanzania

    We gamba utaweweseka sana! Biashara yako ya unga na meno ya tembo mwisho 25 October.
Back
Top Bottom