Recent content by dadazuu

  1. D

    SOMBETINI SPECIAL THREAD: Kampeni zote za CHADEMA hapa!

    Mbona thread ya Aminangalo imefungwa! U cant comment anything. Kunanii
  2. D

    HILI TUNDA ZURI JAMANi

    Haswaa. Biboo
  3. D

    HILI TUNDA ZURI JAMANi

    Ni tamu sana likiiva vizuri nimelimiss@mzizimkavu tuambie ni dawa yanini?
  4. D

    Polisi usiku huu imebidi watumie mabomu ya machozi kuwatawanya Vijana wa ccm sombetini

    Ccm kuweni wastaarabu. Kuonyesha ukomavu kiasa..mnapanda jukwaani mnamwaga sera kwa wananchi..wao ndo wataamua wampe nani dhamana kuongoza wananchi. Acheni vurugu iinaonyesha hamjiamini
  5. D

    Je, unamfahamu muasisi wa chakula cha "Makange"? Mfahamu Mzee Robert Makange

    Tunakula tuu. Hatujui anapikwaje. Ni tamuu
  6. D

    Je, unamfahamu muasisi wa chakula cha "Makange"? Mfahamu Mzee Robert Makange

    Wanaojua kumpika huyu kuku wa makange tujuzeni basiii
  7. D

    Kuondoa harufu ya kitunguu mikononi baada ya kupika

    Best hii inafanya kazi. Na hasa unapoanza kitunguu na vingine vikifuata mwishoni. Asante kwa ushauri
  8. D

    Tusiende Sombetini

    JISEMEE UKWELI WAKI MWAYA...HATA KAMA UTAWAUDHI WENZIO WA KIJANI.. tehetehe teherrr...
  9. D

    Ally Bananga: Kesho Jumapili 19/01/2014 ni Uzinduzi wa Kampeni Kata ya Sombetini Jijini Arusha

    Karibu yanaanza kuwa mambo. Sombetini oyaaaaa...
  10. D

    Ombi kwa diwani atakaechaguliwa sombetini

    Hata kama haingii humu Jf ujumbe atspata kuna wapita njiaa
  11. D

    CHADEMA kuzindua kampeni Sombetini Jumapili Jan 19

    Kampeni ni utaratibu tuliojiwekea... Kwa kweli huku Sombetini hatukuwa na sababu maana diwani keshajulikana. .......Kamanda Ally Bananga........Kwa Arusha hii "Ccm ni chama cha upinzani" CHADEMA ndo chama tawala. Watupishe Sombetini kwetu
  12. D

    Tusiende Sombetini

    Wasije Sombetini kwetu hapa kazi tuu. Hatutegemei 'hila' hapa Sera tuu.
  13. D

    Arusha raha tupu,siasa kila kona

    Hawa jamaa( kijani) Hawana tofauti na nyani yasemekana nyani walitamani kujenga nyumba kama sisi wanadamu. Ila hawakuwa na uelekeo.ikawa vikao kila siku hadi leo nyani anaishi kwenye miti tuuu ( NYANI HADI WAMEOTA UGOKO SEHEMU YA NYUMA )Vikaoo vingiiii toka 1950 hadi leo ujenzi gani...
Back
Top Bottom