Nanyaro Ephata
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,237
- 1,828
Salaam wana JF
Tutazindua kampeni zetu za udiwani Kata ya Sombetini Arusha Jumapili Jan 19.Uzinduzi huo wa kihistoria utakaojumuisha,magari,pikipiki,baiskeli,waenda kwa miguu,utaanza saa tano asubuhi ofisi za chama Ngarenaro,utapita mitaa yote ya Sombetini kisha kuhitimishwa kwa mkutano mkubwa wa hadhara uwanja wa Mbauda,wananchi wote mnakaribishwa.
TULIANZA NA MUNGU,TUNAENDELEA NA MUNGU,TUTAMALIZA NA MUNGU