Recent content by dadayee

  1. D

    JamiiForums Tanzania nimfanyaje huyu mwanaume

    alinitelekeza mtoto akiwa na miezi mitatu nimejitahidi kulea mtoto kwa kadri niwezavyo mpaka mtoto wangu nw anamwaka na miezi mitano.bila msaada salamu wala chochote kutoka kwa baba yake.. kipindi mtoto ni mchanga nilikuwa namuomba sana tusaidiane kulea mtoto majibu yake yalikuwa utajaza hakuna...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Matokeo kidato cha pili 2012 hatimae yatolewa, mkoa wa D'salaam washika mkia.

    maskini tanzania .me wakati nasoma elimu haikuwa kwa kiwango cha kizembe namna hii sijui tunaelekea wapi jamani
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wanawake wabaya

    uzuri wa mtu upo machoni pa m2.huenda we ukaona wa kazi gani kwa kumuona mbaya mwanaume mwenzio anasali kila siku atampata lini. na sidhani kama kwa ubaya wake ungehangaika hivyo.nadhani kauli yako ni ya kukataa tamaa kaka
  4. D

    JamiiForums Tanzania hellow

    asante sana
  5. D

    JamiiForums Tanzania hellow

    asante sana ndugu
  6. D

    JamiiForums Tanzania hellow

    ni mgeni na napenda kujiunga na wanajamiiforum wenzangu kuchangia,kuelimishana na kusaidiana katika mambo mbalimbali tunayokutana nayo katika maisha yetu ya kila siku.asanteni
Back
Top Bottom