Ni kweli! Tumekuwa wepesi wa kushabikia vitu siku hizi! Kuua ni rahisi kiasi hicho? Huyo kijana alikuwa anadai mamilioni mangapi mpaka owe ni rahisi kulipa kundi la wauaji, kumhonga IGP mpaka awe tayari kupoteza kazi na heshima yake na huyo mama kuwa tayari kufungwa au kuuawa! Tumwogope Mungu...
Mimi wiki sipati tbc kupitia dstv haionekani. Naipata kwa antenna ya kawaida. Ila nakubaliana na hoja kuwa program zake zimeshuka hadhi na ziko kisiasa kweli!
Wenzangu mmechangia vizuri! Jambo moja ningependa tuliangalie na kulikubali kuwa kazi za ndani ni kazi kama nyingine. Hivyo jukumu la mwajiri ni kuhakikisha mwajiriwa anapata mazingira mazuri ya kazi na mwajiri anafanya kazi kwa uaminifu! Lakini tatizo linatokea pale mwajiri anapoona kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.