Fanya maombi, jifungie peke yako ikibidi siku nzima ukitafakari juu ya maisha ya utoto hadi sasa, tafakari ndoto za baba unayetaka kuwa. Kwa sababu wote wawili unawafahamu ingawa wa kwanza (34) unamfahamu hadi nyumbani kwao. Rejea enzi za wazazi au mababu zetu, wanandoa walichaguliwa na wazazi...