Recent content by Dadake Asuttu

  1. Dadake Asuttu

    JamiiForums Tanzania Do's and Dnt's kama unalipenda Gari lako

    6. Akina dada, epuka kuendesha gari huku mmevaa skuna mchongoko (kama si mzoefu) Beba flati za kukanyagia. 7. Epuka kunywa soda zenye gesi au vinywaji baridi vyenye gesi wakati unaendesha kwani hufanya mapigo ya moyo kuongezeka.
  2. Dadake Asuttu

    JamiiForums Tanzania Maxence (baada ya ajali ya gari): Ahsante Mungu, ahsante watanzania!

    Pole sana Mkuu, hakika Mungu ni muweza wa yote.
  3. Dadake Asuttu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini wanawake wenye makalio makubwa wanapendwa sana siku hizi?

    Kula 5 mwanawane.
  4. Dadake Asuttu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

    Wewe uko upande gani?
  5. Dadake Asuttu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

    Unene wa kuzaliwa na kurithi wote twaita unene. Unene wa kumnenepesha na wangu wote twaita unene, lakini kwa nini useme mie hunitaki? Ilhali mkeo umemnenepesha na kawa kama mimi?
  6. Dadake Asuttu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

    Umekurupukia swali ambalo hujaulizwa wewe. Anyway, huyo Mkeo/Mpenzi wako uliempata enzi hzo alikuwa mchafu, nawe pia ulikuwa mchafu ndo mana mkaendana.
  7. Dadake Asuttu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

    Kwa Uzito, Upana na Urefu gani?
  8. Dadake Asuttu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

    Ndo mana waki-comment nawauliza maswali wanakimbia. Wavute picha miaka 10 nyuma kabla wake zao hawajazaa, walikuwa na maumbo gani? Tatizo wanaume wengi wanafata mkumbo, akianza mmoja kwenda against na mada, basi woote watakaofuatia watamsapoti wa awali, hata kama Ukweli anaujua. Na nina...
  9. Dadake Asuttu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

    Umetumia kipimo gani?
  10. Dadake Asuttu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

    Kwa uzoefu wako, ukiambiwa uelezee mtu mnene ni nani, wewe ungemuelezeeje?
  11. Dadake Asuttu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

    Kwa hiyo wewe unaishi kwa kuiga toka kwa jirani yako.
  12. Dadake Asuttu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

    Katika maisha yako mkuu, hujawahi kutongoza demu mnene? Na je, ina maana hakuwa wanawake wembamba wasiotoa harufu? Naomba jibu.
  13. Dadake Asuttu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

    Kwani mtu mnene anaanzia kilo ngapi?
  14. Dadake Asuttu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

    BUCHANAGANDE Bado hujaufanyia kazi utetezi wako. Unaogopa? Kwani mtu mnene anaanzia kilo ngapi?
Back
Top Bottom