unawezaje kumjadili mtoto mdogo kiasi hicho wa miaka mi 3 ambaye ni malaika hajui zuri wala baya. hujampenda mama yake wewe. ungesema mama yake anamlea vibaya ningekuelewa. ni mawazo yangu, lkn sijaona tatizo. watoto ni malezi. mkiwawekea misingi mizuri ya malezi hawatakuwa na tatizo...
Elli79 inawezekana ikiwa watoto tutawalea katika misingi ya imani na hofu ya mungu. hata anapokua anajua kufanya hivi ni dhambi kubwa kabla ya ndoa. lkn malezi yenyewe ya siku hivi ni magumu
pole sana kwa yaliyokukuta briz. lkn unapaswa umshukuru mungu huwezi kujua kwanini amekuepusha nae. hivi kwenye upendo wa kweli miezi miwili mwanamke unashindwa kuvumilia ???? jiulize ndoa na changamoto zake atazimudu ? najua una maumivu lkn hebu jipe moyo mkuu mungu atakupa aliye mkusudia...
Hakika umenena mnanso, maisha hayo bila kumpa mungu nafac ya kwanza. atuongoze, kufika kwenye kusudi la mungu kutengeneza ndoa hatuwezi kufika kwa akili zetu.
kwa kifupi tu. kaa na mama mtoto umweleze madhara ya kumwita mtoto jina ambalo lina maana mbaya. akikuelewa nivrahisi yeye kuwaelimisha wazaxi wake. usithubutu kumwita mtt jina usilojua maana yake. itamgharimu maisha yake. siku hizi kuna vitabu vingi vyenye majina na maana zake. tafuta...
hapo ndipo ninapochoka, wanaume walio wengi kuonyesha udhaifu kiasi hicho mwisho utavunja ndoa yako buree. kwani ukimwambia ukweli nakuonyesha msimamo atakulazimisha ? au na wewe unataka kuwa nae unatuzuga ?
Ndg unajua ndoa ni mpango halisi wa mungu. kinachoonekana huyo dada hakuwa na upendo wa dhati kwa mwenzake. au alishinikizwa. huyo angekuwa ubavu wake haswaa kutoka kwa mungu, hayo yote yasingetokea. anapaswa kutulia kwa sasa asichukue hatua yeyote, zaidi ya kuripoti sehemu husika...
kwa mtazamo wangu, siyo sahihi kuishi kinyumba bila ndoa. nionavyo mm ni vizuri kuchunguzana hata miaka miwili kwenye uchumba. kisha muendelee na hatua nyingine. nionavyo mimi mkiishi bila ndoa heshima inapungua kuanzia jamii inayowazunguka, ndugu zenu, na ninyi wenyewe. mnaishi kwa...
hivi ndg wewe si umesema ni mtumishi wa mungu ? hebu kasome waebrania 13:4 inasemaje juu ya ndoa
pili hivi utawezaje kukabilia na mwanamke ambae ameanza tabia hiyo chafu ? uamuzi ni wako. waliotangulia wameshakushauri. mtoto ni mdg anatakiwa akae na mama yake huju ukimhudumia. ukiona...
mpendwa usijiingize kwenye laana ya kuvunja ndoa za watu. mtoto ni zawadi toka kwa mungu. una uhakika gani kama wew utabeba mimba ? unadhani mke wake aliomba asizae ? unajisikiaje mume wa mtu anapoamua kukutumia kama chombo eti umzalie hujisikii vibaya ? je akinfukuza mke wake ukakaa wew...
njoo uone. sijapanic sikuipenda kauli yake kutuunganisha wanawake wa dar. someni na michango ya wengine. mbona mwanishambulia mie tu. yy ndio ana tatizo. hiv wanawake 7 wote wanuke ? khaa. nashindwa kuamini
wewe mtoa mada UKOME kukashifu wanawake wote wanaoishi dar. unaokota mizoga yako isiyojitambua kama wewe ndio maana yanakukuta hayo. mrudie muumba wako acha uzinzi mtoto mdogo unaendekeza ngono.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.