msaada...mwanamke wa namna hii

msaada...mwanamke wa namna hii

habari zenu waote...
mimi ni kijana wa kiume ila leo wikend imekuwa mbaya sana baada ya kuwa na mwanmke mmoja mrembo na kapendeza sana ila baada ya kukaaa naye room nimekuta ananuka mdomo na papuchi inatoa harufu yani chumba kilibadilika mda huo huo baada ya kuvua nguo ....
hiv nyinyi wanawake wa hapa dar kwanini mnanuka midomo na papuchi? maana huyu ni mwanamke wa saba kukutana nao wananuka....
Naombeni msaada nikikutana naye tena mwingine anayenuka papuchi na mdomo nimfanyeje? mana nimechoka kukutana nao yani mdada kapendeza mkifika tu rom unakutana na vitu vya ajabu..naombeni msaada wenu
Midomo ya watu wengi hunuka.Si ajabu hata mdomo wako unanuka ila huyo demu kakuvumilia tu. Kuhusu papuchi kutoa harufu kwani unaweka huko pua zako au gegedo? Papuchi kutoa harufu ni lazima maana inakabiiwa na mengi sana.Jifunze kuivumilia!
 
kuanzia 17 mpaka 23,sijawahi kumtongoza wa miaka 27 japo mie nina miaka 28

Hao ni wakubwa kimuonekano lakini, kimatunzo na kifikra bado wadogo sana. Wengine hata wanajua kuwa na mwanaume ni ngono na kumpiga virungu tu. Alafu inaonekana unapenda vya ubwete, wa umri huo ni wasumbufu kiakili lakini hawana gharama.
 
Sasa kijana kama wewe unaenda kuokota mtu pale ubungo aliyepoteana na mwenyeji wake halafu unamtoa ubungo hadi kimbiji kwa mguu hata humpi maji yakuoga unategemea harufu nzuri kweli???
 
wewe mtoa mada UKOME kukashifu wanawake wote wanaoishi dar. unaokota mizoga yako isiyojitambua kama wewe ndio maana yanakukuta hayo. mrudie muumba wako acha uzinzi mtoto mdogo unaendekeza ngono.
 
Ogeni kwanza kabla ya kugegedana,kila mtu aswaki mdomo,mbona tatizo ndogo tu
 
Hao ni wakubwa kimuonekano lakini, kimatunzo na kifikra bado wadogo sana. Wengine hata wanajua kuwa na mwanaume ni ngono na kumpiga virungu tu. Alafu inaonekana unapenda vya ubwete, wa umri huo ni wasumbufu kiakili lakini hawana gharama.

Mi mwenyewe napenda 18-23 na huwa nawaona hawajatulia na hawa msimamo,ila hao 24-30 hawakatai bhana,tongoza kiutuzima unakula hata mtaa mzima
 
Unaonesha wewe mwenyewe wa lower quality utampataje vanessa wa masaki anaenukia pafyumu ya gucci utawapata hao hao watoto wa kina baba John muuza barafu sio ndio unaendaga kununua juice ya ukwaju hehehe osha pumbu vizuri utowe gundu

hahahaha! ameipata hiyo.
 
wewe mtoa mada UKOME kukashifu wanawake wote wanaoishi dar. unaokota mizoga yako isiyojitambua kama wewe ndio maana yanakukuta hayo. mrudie muumba wako acha uzinzi mtoto mdogo unaendekeza ngono.
Unajua umri wake ? Au unamshambulia tu? Hilo tatzo lipo Na hii nikutoka Na joto Na kipato cha mhusika
 
wewe mtoa mada UKOME kukashifu wanawake wote wanaoishi dar. unaokota mizoga yako isiyojitambua kama wewe ndio maana yanakukuta hayo. mrudie muumba wako acha uzinzi mtoto mdogo unaendekeza ngono.
wew utakuwa miongoni mwa watoa harufu mbona wapaniki sana
 
njoo uone. sijapanic sikuipenda kauli yake kutuunganisha wanawake wa dar. someni na michango ya wengine. mbona mwanishambulia mie tu. yy ndio ana tatizo. hiv wanawake 7 wote wanuke ? khaa. nashindwa kuamini
 
Back
Top Bottom