Recent content by dacta_d

  1. D

    Airtel: Kifurushi cha intaneti cha TSHS 2,500/-

    hiyo nadhani ni kwa line za mda kidogo ndo zinakubali kupokea MB 400, zile za siku hizi zinakataa, kwa hiyo ni line na line mkuu. kama ni mpya huwezi unga mpaka utumie ile ya *154*44# ambayo inakupa vifurushi vipya ambapo hamna ya 400MB.
  2. D

    Naomba ushauri juu ya kununua laptop

    Kwa ushauri wangu,kama ingekuwa sio swala la uchakachuaji wa hiyo dell,we ichukue sababu km suala ni DOS wala hata sio issue,maana windows 7 ni simple kuiweka,zipo pirated kibao,labda km unataka genuine one,japo hata genuine zinapatikana kama kawa,chukua dell.
  3. D

    tumia android ufaid ulimwengu wa smart phones kwa yafuatayo

    kaka brakelyn umeua hapo, hakuna cha android wala symbian, wote watoto kwa ios, yani hawajakubali tu na hizo screen hapo, inawabidi tuwatafute tuwafanyie demonstration hapo kwa papo ndo wakubali
  4. D

    Msaada wa kutengeneza best web based application

    basics kidogo kwenye html, java, c, na mysql, ila not that much.
  5. D

    Msaada wa kutengeneza best web based application

    ok, nashukuru sana for ur comment mkuu
  6. D

    Msaada wa kutengeneza best web based application

    poa bro, nitafanyia kazi hiyo mambo uliyonipa,training dvd ya dreamweaver tayari nnayo ngoja niicheki hiyo ya joomla.
  7. D

    Msaada wa kutengeneza best web based application

    ok, thanks for that comment, ila naamini ninao uwezo wa kufanya vyote viwili simultaneous kusoma ili nijue kwa kupitia code zilizoandikwa tayari na kuwa naandika mwenyewe kupitia text editor, na ndicho nakifanya kipindi hiki, then nikishajua, mwisho wa siku hata nikitumia hizo app saidizi...
  8. D

    Msaada wa kutengeneza best web based application

    nashukuru kaka, kingine nachotaka kufahamu, watu wengi wanarecommend hizo development tools mbalimbali kama hiyo ulosema joomla, sasa wengine wanasema dreamweaver, adobe dreamweaver cs's(3, 4,& 5), sasa ipi ni best kati ya zote, mimi pia ni mmoja wapo wa waumini wa uchakachuaji(torrent user)...
  9. D

    Msaada wa kutengeneza best web based application

    nachotaka mimi nikujifunza na pia nitoe kitu mwishoni, cha kwanza muhimu ni topic ipi to start with, yani nina kama assignment flani hivi ambayo ni competition na washikaji wenzangu, ambayo unaruhusiwa hata kucopy kazi ya mtu ila idea tu,sio code to code,alafu mwisho wa siku hizo code...
  10. D

    Msaada wa kutengeneza best web based application

    asante sana bro, ngoja nitamcheki, ni mmoja wa member wa jf sio?
  11. D

    Msaada wa kutengeneza best web based application

    ndio mkuu, kitu kama hicho
  12. D

    Msaada wa kutengeneza best web based application

    nataka topic ya kufanyia kitu, yani nataka ideas zenu kipi nifanye mwisho wa siku nitoke na kitu bomba na unique kimtindo, hiyo application isiwe much complicated, simple one but iwe inauwezo mkubwa, yani hata ukipresent some where inaonekana kweli mtu umefikiria na umefanya kazi kweli. so sina...
  13. D

    Msaada wa kutengeneza best web based application

    Wanajamii naombeni msaada wenu katika hili suala, ninataka kutengeneza web based application ambayo inaweza ikatumika katika secta za elimu especially vyuoni, nataka iwe the best, sasa nilikuwa nahitaji topic muhimu (idea) mfano( student registration application,library management...
  14. D

    Msaada wa kutengeneza bes web based application

    Wanajamii naombeni msaada wenu katika hili suala, ninataka kutengeneza web based application ambayo inaweza ikatumika katika secta za elimu especially vyuoni, nataka iwe the best, sasa nilikuwa nahitaji topic muhimu (idea) mfano( student registration application,library management...
  15. D

    does iphone 4 work in tanzania

    Its working in tanzania,ila ningekushauri uchukue iliyokuwa factory unlocked ili usikumbane na shida za unlocks,hapo utakuwa unaamani na iphone yako.
Back
Top Bottom