Recent content by dabiliuW

  1. dabiliuW

    Bidhaa za Stationary

    Shukran kiongoz
  2. dabiliuW

    Bidhaa za Stationary

    Shukran kiongoz
  3. dabiliuW

    Bidhaa za Stationary

    Habari za Leo ndugu wanajamvi 1. Naombeni msaada wataalamu wa vifaa vya Stationary. Printer Ipi ni nzuri zaidi kwa matumizi ya stationery?
  4. dabiliuW

    Bashiri matokeo ya mechi ya USM Alger Vs Yanga na ulambe elfu tano

    UsmA 1- yanga 4 Yanga watapata penalty kupitia kwa Morrison
  5. dabiliuW

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ahahaha nasubir mvua inyeshe tena..
  6. dabiliuW

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ilikuwa jana mida ya jioni, Ebwan Mchanganyiko ulikuwa hivii 1. Kulikuwa na mvua kubwa sana jana uck, napoishi naishi na wapangaji watatu na wote ni single. Mwanaume ni mm tu katika vyumba hivyo, 2. Wakati mvua yanyesha nilikuwa nachemsha Chai yangu ya maziwa, baada ya kumaliza nikaihifadhi...
  7. dabiliuW

    Kusoma Sheria kunawachanganya watoto wa kike

    huku kuna mtu kamshtaki mmiliki wa jogoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tusubilie ashtakiwe mbuz,,
  8. dabiliuW

    Kuna Mdada aged around 25, usiku huu simjui hanijui, kaning'aninia nimuoe

    Sema kwel bwanaaaa,, nyoosha vizuri maelezo kuwa umemtongoza, lakn baada ya yeye kuwa mkweliii kuwa Ana watoto wawili wataka Ushauri.. Ushauri wangu UMUOE ..
  9. dabiliuW

    Maisha ya ndoa ni kama pedeli ya baskeli

    mtalamu wa mapenz kutoka marekani bwana sir Henrik Finoh aliandika kwenye kitabu chake kiitwacho LOVE IS BLIND cha 1995 ukurasa wa 145 kuwa mapenzi yana formula... Formula yake imepatikana bwana... 1.pesa 2.pesa 3.pesa 4.pesa
  10. dabiliuW

    Kuikalia na ‘mbuzi kagoma’ ni ukatili kwa wanawake

    wenzako wakipewa muhindi wanakula hadi gunzi,,, Na umeme ukikatika viuno huwaga fyuzi.. Ww endelea na kauli ya unyanyasanyiiii...
Back
Top Bottom