Recent content by Da zed

  1. D

    wasichana na chuki kwa wanaowatoa usichana.

    kumbuka kama ulivyofanya utafanyiwa, umemla wa mwenzio na wako ataliwa kwa njia yoyote ile, sehem yoyote na muda wowote. Kaa tayari na usikasirike yakikukuta
  2. D

    Hakuna mwanaume asiyetamani kutoka nje ya ndoa...!

    Mbona hata wadada hawapend kufanya hayo but nyinyi ndio sababu mfano 1. Kabla ya ndoa ulikua unatoa hela ya shoping but sasa unadai huna, je niipate wap? 2. Kabla ya ndoa tulikua tukitembea shirika kumbi tofaut but sasa unajifany uko bize. 3. Kabla ya ndoa ulipoteza mda mwing kupiga stor na...
  3. D

    Kufunga ndoa kabla ya kufanya ngono na mpenzi wako - ni sahihi?

    MI NAPITA TU BUT NIMESIKITISHWA NA HII POST. NAAMINI WEWE NI MFUASI WA MOJA KATI YA DINI MBILI KUBWA (ISLAM OR CHRISTIAN). Kama jibu ndio, dini hizi zote zinapinga zinaa. Kwa hio wewe jiangalie kuridhisha nafsi na kumridhisha MUNGU LIPI NI MUHIMU KWAKO?
  4. D

    Ungekuwa mzazi wa huyu binti ungetoa uamzi gani kwa boyfriend wake (John)

    hahaha..,.! Mi ningelimwambia akazirejeshe kwao nguo zilizoroa, aje mkavvuu
  5. D

    Nahisi hiki ndicho kitanikwamisha kwenda chuo hata nikipata mkopo...!!

    Kusoma gharamaaa! Lazima ujitolee la si hivyo utashindwa
  6. D

    Jf nisaidieni kwa hili

    pole sana dada, ni mitihan ya nyumba za kukodi hiyo. Kuwa mstahamilivu huku ukitafuta ufumbuzi kwa wazee, usichoke yatakwisha
  7. D

    Ng'ombe azaa ndama mwenye kichwa cha binadamu

    Habari zenu wapendwa, mi ni mwanacham mpya, but kwenye hili naamini ni miujiza ya mungu tu, anatukumbusha uwepo wake kwan binadam tunajisahau. Asubuhi njema!
Back
Top Bottom