Recent content by da muft hamisi

  1. da muft hamisi

    Kuhusu ajila za ualimu 2016

    Wapo vituon ila hawajaanz kupewa mishahara
  2. da muft hamisi

    Kuhusu ajila za ualimu 2016

    Harafu ni ajira na siyo ajila
  3. da muft hamisi

    Kwanini Wanyama wote(karibia) hujamiiana kwa Nyuma?

    Haijakaa sawa hii...pia somo lako halijaeleweka
  4. da muft hamisi

    Nimsaidie Rais hili jipu kwenye Ajira za Walimu

    hahahahaha nauhakika wote wachangiaj n walimu watarajiwa wa waliomaliza mwaka huu..wanafikisha ujumbe kisomi ili wawahi kuajiliwa...kuweni na subira ajira mpaka mwakan mwez wa nne
  5. da muft hamisi

    Nimsaidie Rais hili jipu kwenye Ajira za Walimu

    hahahaha wote wachangiaj nauhakika n walimu watarajiwa wa mwaka huu...wanafikisha ujumbe tu ili wawahi kuajiliwa nyie subirin mpaka mwez wa nne
  6. da muft hamisi

    Siasa nyepesi anazofanya John Mnyika

    siasa za maji taka
  7. da muft hamisi

    Tabia za wanafunzi wa Arts

    vizuri umeliona hilo ila kubadilka n vigum hii inatokana na athar za utandawazi hakuna kingine
  8. da muft hamisi

    Hili la madawati Tsh 15000/= kwa mwanafunzi mnalionaje?

    kipindi nasoma shule nliingia form one kwa dawati la thamn ya shilingi 15,000/= .. sa hivi no balaaa Mtoto wa form one wanamtaka atoe 60,000/=
  9. da muft hamisi

    Waliopata mikopo HESLB 2014/15

    Asante mkuu kwa taarifa.
  10. da muft hamisi

    Natafuta mwalimu wa tuisheni ya Geo kwa form 3 na 4

    we upo mbali ila jamaa anaweza mi namkubali sana
  11. da muft hamisi

    Natafuta mwalimu wa tuisheni ya Geo kwa form 3 na 4

    ungekuwa tabora kuna mwalimu anayeijua Geography vizur kwa olevel hata pia a level. ....shule anayofundisha KAZIMA SEC TBR
  12. da muft hamisi

    Idadi ya fimbo anazotakiwa kuchapwa mwanafunzi

    Fimbo huwa mwisho tatu..sema ubinadam unapitiliza kwa kosa analofanya mwanafunzi
  13. da muft hamisi

    Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    cafeteria gani inatoa Huduma nzur kwa hapo Chuo???
Back
Top Bottom