Recent content by DA HUSTLA

  1. DA HUSTLA

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva | Mlimani City | 10.07.2026

    Jamaa alichagua brand ngumu sana. Hivi na mtaani anawekaga hiyo toothpick?
  2. DA HUSTLA

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva | Mlimani City | 10.07.2026

    Apige Bishoo, hapo atakua ameua
  3. DA HUSTLA

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva | Mlimani City | 10.07.2026

    Sema kama pumzi inakata hivi, inaonakana hana fitness.
  4. DA HUSTLA

    JamiiForums Tanzania Wanaume Wenzangu mnawezaje kudeal na wanawake walevi?

    One of the biggest lie tangu CCM iingie madarakani.
  5. DA HUSTLA

    JamiiForums Tanzania Wanaume Wenzangu mnawezaje kudeal na wanawake walevi?

    Sasa unakunywaje hadi uyumbe?! Kunywa siku 5 wala hakuna issue, as long as unakunywa responsibly.
  6. DA HUSTLA

    JamiiForums Tanzania Umefaidika na nini baada ya kuoa mwanamke mpambanaji/mwenye kipato?

    Halafu wakiachana wanataka wagawane mali, kwamba walichuma pamoja. Hii sheria ya ndoa imekaa kitapeli sana.
  7. DA HUSTLA

    JamiiForums Tanzania Kuongea kwa kuchanganya lugha kiswahili na Kiingereza, ni usomi au ujanja?

    Nimecheka kwa nguvu sana.
  8. DA HUSTLA

    JamiiForums Tanzania Educated TZ Immigrants in US in tough Situation

    Kwanini nirudi bongo in a first place?
  9. DA HUSTLA

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi hufikiri Kila mwanaume aliwahi kutoa bikra wakati waliokutana na bikra ni wanaume 2 kati ya 10

    Wamewaacha wengine wadhani bikira ni myth, jamaa ni wabinafsi.
  10. DA HUSTLA

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi hufikiri Kila mwanaume aliwahi kutoa bikra wakati waliokutana na bikra ni wanaume 2 kati ya 10

    Economy sio kila kitu, yaani breath in breath out .... economy economy. What if mtu akiwa ana economy nzuri still aongelee economy tena.
  11. DA HUSTLA

    JamiiForums Tanzania Single Mothers wana haki ya kuwasiliana na Wazazi wenza. Kama hutaki ungeoa asiye na Watoto

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ngoja niishie hapa. Pole sana bro, ulitakiwa kujua consequences za maamuzi ya kuoa single mother, but it's too late, jifunze kuishi nayo hakuna namna.
  12. DA HUSTLA

    JamiiForums Tanzania Single Mothers wana haki ya kuwasiliana na Wazazi wenza. Kama hutaki ungeoa asiye na Watoto

    Kwamba wewe umeamua kujimilikisha mtoto wangu, brother ukweli mchungu kama umeoa single mother muombe Mungu hekima ya kuishi naye kama hujaoa tafadhali tafakari vyema.
  13. DA HUSTLA

    JamiiForums Tanzania Single Mothers wana haki ya kuwasiliana na Wazazi wenza. Kama hutaki ungeoa asiye na Watoto

    Unazungumzia single fathers wakati tupo kwenye jamii ambapo polygamy ni kawaida. Single mother na single father sio same, sawa mama?
Back
Top Bottom