Recent content by Da Asia

  1. Da Asia

    Kuanzia leo mimi sio muumini tena wa Kanisa Katoliki

    Kama kuna dhehebu la kishenzi ni wakatoliki. Mapri wazinzi hakuna mfano. Wamezaa kila kona. Lakini nenda una shida ya kiroho utajuta. Asosali hazikwi na watoto hawabatizwi na wanaooana hawafungishwi ndoa. Wewe ni nani wa kumhukumu binadamu mwenzio il hali una mapungufu zaidi ya alokujia. Una...
  2. Da Asia

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Mikocheni karibu na Club 327, barabara ya rose garden kuna bomba lina karibu mwezi sasa linamwaga maji. ni bomba kubwa la Dawasco. tumesharipoti mpaka tumechoka. tunawaachia wenyewe siku mkipita mlione maana na nyie mmezidi. kujituma ni janga la kitaifa
  3. Da Asia

    Mke wa Mzee Majuto afukuzwa aomba msaada kwa watanzania

    Ana miaka 38 huyu mama, sidhani kama ana mtoto ambae keshajitegemea. Shida Majuto alioa wanawake wengi, anawaacha, huyu ndio wa mwisho aliolewa akiwa mdogo sana. pia kutakua na tatizo, kwanini afukuzwe?
  4. Da Asia

    Sampuli ya Mkataba wa Makubalino

    Memorandum of understanding
  5. Da Asia

    Sampuli ya Mkataba wa Makubalino

    Wapendwa, mwenye sample ya mkataba wa makubaliano , please naomba. uhusiane na udalali wa nyumba ya kitu. mkataba uwe unatoka kwa dalali wa nyumba/kitu kwenda mwa muuzaji/mnunuaji. hali imekua mbaya sana watu hawalipi. kukosa maandishi pia imekua changamoto. inabidi tuwe na mikataba ya maandishi...
  6. Da Asia

    Dah watangazaji wa clouds acheni hizo,duniani tunapita

    Harufu inayonukia hapa ni kumpoteza Zama kiasi wawezacho. ndio style ya hawa mawingu fm. mnaweza msimsikie tena Zama labda um follow IG na FB huko
  7. Da Asia

    Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

    Kazaa nae watoto wawili wakati akijua dini tofauri. Nampenda Zama lakini kuna jambo kubwa litamtomtokea huyu dada kwa hiki alichofanya. ni bora angekaa akalea watoto wake wawili angalau wakue kwanza. sema kifo unakifuata mwenyewe hata ukatazwe vipi. Huyu dada alinyanyasa sana wenzie Clouds...
  8. Da Asia

    Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

    Muoaji mwenyewe inasemekana nae ana watoto wawili, tena wa kwake wakubwa kupita wa Zama. Hivyo yeye ndio ingependeza angeoa wakati ana watoto
  9. Da Asia

    Wolper na Kiben ten wake wameachana!!!

    amtafutie wapi huyo mtu mzima maana wote wameshtuka na hali ilivyo wamerudi kwa wake zao. Hawa wasanii wamechezea sana ujana wao ndio maana sasa hivi wanaokotwa na kila anayewajaribu.
  10. Da Asia

    Hivi ndivyo marehemu Nicola mmiliki wa Slipway na Coastal Aviation alivyoagwa na wafanyakazi wake

    Asante FaizaFoxy unamjua Nicola vizuri. Nilifanya nae kazi zaidi ya miaka 10, na niliacha muda lakini nikienda Slipway najificha asinione maana hakubali nilipie chochote. Alikua na moyo wa upendo. Apumzike kwa Amani baba wa watu.
  11. Da Asia

    Hivi ndivyo marehemu Nicola mmiliki wa Slipway na Coastal Aviation alivyoagwa na wafanyakazi wake

    Walijaribu mara 2 artificial insemination na mke wake ambazo zili fail. Ila ana mtoto ambae hakuzaa na mkewe
  12. Da Asia

    Tanzia: Nicola Colangelo mmiliki na muanzilishi wa kampuni ya Coastal Aviation afariki dunia

    Nimependa comments zako. Kumsema mtu vibaya akishaondoka si jambo jema. Nimjuavyo mimi alikua mtu mwema sana. Sijawahi kufanya kazi na mtu mwenye moyo wa ubinadamu kama Nicola, hasa mtu mweupe. Alikua na makelele zamani wakati anatafuta, lakini ukimzoea unaishi nae vizuri sana. Alijali sana...
Back
Top Bottom