Recent content by D_spoiler

  1. D

    Tanzania yatangaza kujitenga na Afrika Mashariki na Ulaya ili kuleta viwanda

    Msichukulie Rahisi kufanya mazungumzo ya Uchumi...uchumi unabadilika kila baaa ya sekunde hasa kwa tukio lililotokea la kujitoa kwa Uingereza...kua kigeugeu si kubaya sababu hata Uchumi wenyewe umekaa kigeugeu kesho dollar inapanda Euro inashuka keshokutwa taifa linaingia ktk hasara nawewe...
  2. D

    Binadamu waanza kuishtukia Apple, lakini wameshachelewa!

    Ndugu fanya research vizuri... Iphone Se ni same shit kama iphone 5...watu hawajaipenda kihivyo sababu haina utofauti au upya wowote yaani ni new version of iphone5...watu wengi wamenunua sababu ni first cheap Iphone. Mfano. Samsung si wana series ya samsung S1,2,3,4..halafu pembeni wana samsung...
  3. D

    Chemsha BONGO

    "Just work here" ndo in english..........ila unaweza malizia "nothing else"...ili kuweka maana ikae vizuri kwa kiswahili.
  4. D

    Chuo kizuri kwa kusoma Marketing management

    Mwanafunzi kamaliza certificate ya "Youth work" na ana pass ya "Mathematics" secondary education.. chuo cha mwalim nyerere soo anataka kusoma diploma ya "Marketing management" je!? chuo kipi ni kizuri au inawezekana kusoma hivyo maana baadhi ya vyuo kaambiwa inawezekana....msaada wadau.
Back
Top Bottom