Chuo kizuri kwa kusoma Marketing management

D_spoiler

Member
Apr 24, 2016
5
6
Mwanafunzi kamaliza certificate ya "Youth work" na ana pass ya "Mathematics" secondary education.. chuo cha mwalim nyerere soo anataka kusoma diploma ya "Marketing management" je!? chuo kipi ni kizuri au inawezekana kusoma hivyo maana baadhi ya vyuo kaambiwa inawezekana....msaada wadau.
 
Back
Top Bottom