Recent content by D TARGET

  1. D TARGET

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai, una nini na Mbunge Halima Mdee wa CHADEMA?

    Bunge haliwezi kuwa dhaifu, kama kiongozi wake yuko makini... Ndugai hafai kuwa spika wa bunge la Tz labda ilo bunge la Magu ndyo linamfaa
  2. D TARGET

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali hii wanatumia nini kufikiri? Ni Kichwa hikihiki au kuna njia nyingne wanatumia?

    SIJUI NI KWANINI MWENZENU, CCM SIWAPENDI LAKINI HUMPHREY UWA NAMUONEA HURUMA SANA, ANATESEKA HUYU BWANA....
  3. D TARGET

    JamiiForums Tanzania TRA kumchunguza Askofu Kakobe baada ya kumsikia akisema ana hela kuliko Serikali

    Mbona mi nina hela nyingi kuliko Kakobe:D:D:D
  4. D TARGET

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Unapataje taarifa za ndani kuhusu nchi yetu kudaiwa kama huhusiki kuishtaki nchi yako?

    eti tu kisa CCM iko madarakani na si chama watakaacho wao.
  5. D TARGET

    JamiiForums Tanzania Uwezekano wa kulipa Trilioni 4 za Acacia versus Trilioni 400 za TRA

    Usitake kuniambia kuwa parking yangu haitafanya kazi.... #nasubirinoahyangu
  6. D TARGET

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akamatwa akiwa uwanja wa ndege wa Dar akielekea Kigali

    Noma sana, maisha yamekuwa magumu mno, sijui itakuwaje baadaye......
  7. D TARGET

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lakana kuhusika kutekwa kwa msanii Roma Mkatoliki

    EBU TUFAFANULIE KIDOGO, ao chama mfu ndyo nani? na kama wanakikundi cha ugaidi na utekaji inapaswa taarifa zao tuzifikishe polisi kwa msaada zaidi.....
  8. D TARGET

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwakyembe: Sakata la Clouds kwa sasa ushahidi hautoshi kufanya maamuzi

    Mzee kapungukiwa Sana....
  9. D TARGET

    JamiiForums Tanzania Wabunge 10 wa CCM kesho wana ziara ya kuitembelea Clouds Media

    ushauri wako unahusika mkuu....
  10. D TARGET

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    kwa kali ilivyo sasa ni bora Daud Bashite akae mbali na Paul christian Makonda, ili maisha yake yawe na amani
  11. D TARGET

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Kikatiba: Makonda, Sirro na Wambura wakataa kupokea wito wa Mahakama 'summons'

    muhimili ni mmoja tu, hyo mihimili mingine headache tu.......
  12. D TARGET

    JamiiForums Tanzania Kwa ilivyo hali ya kisiasa Tanzania , je ofisi ya Mkemia Mkuu wa serikali inaweza kuaminika?

    ata Ganja pia ina chemical properties?
  13. D TARGET

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

    Nakumbuka Manji alipokelewa kama mfalme tena baada ya Majibu ya mkemia mkuu.....
Back
Top Bottom