Recent content by D-RICH

  1. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka unahitajika: nahitaji mahali pa kufikia Dar

    Asante sana mzee...hata huu ni msada pia .
  2. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka unahitajika: nahitaji mahali pa kufikia Dar

    Ni id tu mzee haimaanishi chochote
  3. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka unahitajika: nahitaji mahali pa kufikia Dar

    Nimekulia dar zaidi na pia nilianza matibabu huko ..Mwanza hakuna nayemjua
  4. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka unahitajika: nahitaji mahali pa kufikia Dar

    Man this is serious issue stop kidding ...me so mfuasi wa hizo mambo .Hujafa hujaumbika.Asante
  5. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka unahitajika: nahitaji mahali pa kufikia Dar

    Amen ...dunia hii mbaya sana
  6. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka unahitajika: nahitaji mahali pa kufikia Dar

    Noted chief
  7. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka unahitajika: nahitaji mahali pa kufikia Dar

    Sawa mkuu asante ..vip naweza kukucheki muda huu inbox?
  8. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka unahitajika: nahitaji mahali pa kufikia Dar

    Mkuu u mean naweza pata hifadhi pale ...Can I check in box muda huu ??Asante
  9. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka unahitajika: nahitaji mahali pa kufikia Dar

    Habari wakuu! Mm ni kijana mwenzenu Mtanzania halisi.Nimekuwa na changamoto ya kiafya muda mrefu kidogo .Kwa sasa niko kanda ya ziwa natakiwa kuja dar this month kwa ajili ya matibabu.Kwa bahati mbaya sina sehemu ya kufikia huko,nahitaji nipate ata kama kuna jumba ( pagale) ambalo linahitaji mtu...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Lil Nas x has been hospitalized for a possible overdose

    Haah hamna mzee kma ni hivo silihitaji
  11. D

    JamiiForums Tanzania Lil Nas x has been hospitalized for a possible overdose

    Duuh apo sikujua bro ...Hilo sihitaji
  12. D

    JamiiForums Tanzania Lil Nas x has been hospitalized for a possible overdose

    Yeah mzee
  13. D

    JamiiForums Tanzania Lil Nas x has been hospitalized for a possible overdose

    Maombi yenu guys soon ntakuwa Muhimbili for treatment
Back
Top Bottom