Recent content by cyrax

  1. cyrax

    Serikali iangalie kuboresha upatikanaji wa elimu wilaya ya tunduru mkoani Ruvuma

    Wakuu salam, Nisiwapotezee muda. Kwa muda mfupi niliokuwa Tunduru hasa maeneo ya mpakani na nchi ya Msumbiji nimejifunza mengi ambayo naona kama chanzo cha jamii za maeneo haya kuwa chini kimaendeleo. Kwanza niweke wazi kuwa jamii za mpakani tunduru zina mwamko mdogo sana wa kielimu, watu...
  2. cyrax

    Tujifunze

    Asili imeweka watchman kwa kila mmoja wetu mkuu. Bahati mbaya ubinafsi umetutenga mbali sana na watu Mungu aliowaweka kujua kinachoendelea kwenye maisha yetu kwa kila namna. Somo zuri mkuu. Barikiwa sana
  3. cyrax

    Ukweli mchungu ambao huwezi ambiwa na CCM: Nusu ya Watanzania tumepata Umeme na Maji kwa Msaada wa Umoja wa Ulaya

    Watasemaje ukweli wakati kwa asili wanapenda watu wanaowaunga mkono kwenye maigizo yao? Hawana tofauti na ali kamwe kusema kombe la muungano ni kubwa kuliko Caf.
  4. cyrax

    Naomba kufahamishwa kuhusu usafiri wa kutoka Dodoma kwenda Tunduru

    Wakuu salam. Kama title inavyojieleza naomba kujua kuhusu usafiri wa mabasi kutoka dodoma kwenda tunduru ikiwezekana nauli take. Asanteni.
  5. cyrax

    Naomba kufahamishwa gharama ya mita za kujua matumizi ya umeme kwa wapangaji

    Wakuu salam, Kama title inavyojieleza naomba mnisaidie kujua gharama za mita za wapangaji, niepuke migogoro ikiwezekana na mahali zinapopatikana. Asante
  6. cyrax

    Nimekwama wapendwa, nisaidieni nipate kibarua

    ni kweli mkuu hali sio nzuri sana kwa watu wengi inahitajika kufunga mkanda kweli. Tuendelee kuombeana.
  7. cyrax

    Nimekwama wapendwa, nisaidieni nipate kibarua

    asante mkuu najithidi sana kutokuwaza naamini kila kitu kitakuwa sawa.
  8. cyrax

    Nimekwama wapendwa, nisaidieni nipate kibarua

    asante mkuu. naamini kila kitu kitakuwa sawa. ni swala la wakati Mungu ataweka sawa huu upepo utapita. Asante kwa kujali mkuu.
  9. cyrax

    Nimekwama wapendwa, nisaidieni nipate kibarua

    asante mkuu, nina degree ya Ualimu masomo ya History na Kiswahili, nina experience ya Mwaka mmoja na miezi miwili kwenye fani ya ualimu. Baada ya kufanya kazi za kujitolea kwenye shule za sekondari niliamua kuacha maana ningekufa njaa. Kwa sasa ninaishi dar es salaam.
  10. cyrax

    Nimekwama wapendwa, nisaidieni nipate kibarua

    asante kwa ushauri mkuu umenifungua macho. shida ni kwamba kwa saivi sina source yoyote ya kupata mtaji wa kuanzia natumia laptop ya rafiki yangu kuingia mtandaoni sina smartphone, ndio sababu natafuta kazi nipate nguvu ya kuanzia.
  11. cyrax

    Nimekwama wapendwa, nisaidieni nipate kibarua

    habari zenu wana JF, nimekuja tena kuomba msaada wa kibarua hali imekuwa ngumu, baada ya kuzunguka kutafuta ajira rasmi ya kufundisha kwenye shule bila mafanikio niligeukia kwenye kazi za vibarua kwenye ujenzi angalau niweze kulipa kodi na chakula hapa mjini Dar es Salaam. Wiki iliyopita...
Back
Top Bottom