Siwezi kataa inaweza kuwa..ila course work kamaliza on time issue iko kwenye research na supervisors atleast ukipata feedback kwamba kazi yake haina merits do it differently ila imagine delayed feedback or no feedback at all utamalizaje?.. Na yuko commited kumaliza ila anakwama hapo
Tupo kwenye taasisi ya utafiti ambayo kupanda vyeo masters na PhD inaitajika wakati fulani kutoka cheo kimoja kwenda kingine.. Nilitaka kuonesha ni jinsi gan chuo kisipokuwa na uongozi mzuri na checks and balance kinavyoweza kumrudisha nyuma mtu kwenye jambo alilopanga kulikamilisha kwa wakati...
Kwakweli chuo hiki kina changamoto nyingi mfano mdogo tu masters zinazotolewa mfano ya sociology hakuna checks and balance ambazo zingewaweseha wanafunzi kumaliza kwa wakati hali inayopelekea wanafunzi wa miaka 2 kusoma hadi miaka 6 bila kuwepo na sababu za msingi.. mfano kuna mtumishi mwenzangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.