Recent content by Cypher

  1. Cypher

    Fahamu sifa kubwa ya Infinix Hot 10 PLAY zaidi ya Samsung A02S

    Android 10 Go edition ni ya hot 10 lite na play ya 32gb na 2gb ram pia ina cpu tofauti na 64gb
  2. Cypher

    Fahamu sifa kubwa ya Infinix Hot 10 PLAY zaidi ya Samsung A02S

    Huo ni mtazamo wako hot play ni simu za high end low budget phone wewe kama kutoa 3M ndo unaoan high end ni sawa lakini both phone run android q...na ndo kitu kizuri kwenye open operating system, tutanyanyapiana kwenye hardware features.. lakini tunatumia the same operating system
  3. Cypher

    Fahamu sifa kubwa ya Infinix Hot 10 PLAY zaidi ya Samsung A02S

    Uongo infinix inafast charge ya 10w, na hiyo 6000 mha inakuwa full charge in 2 hrs...
  4. Cypher

    Window gani bora zaidi?

    Windows zote ni bora kwa kipindi chake lakini kwa sasa ni windows 10, windows inafanya kazi vizui kama utainstall driver zote za kifaa chako kwa mfano umesema bluetooth haifanyi kazi ilo sio tatizo la windows ni kwasababu ujainstall bluetooth driver za pc yako au driver za pc ya hazisupport hiyo...
  5. Cypher

    Kucheleweshwa kwa Mkopo World Bank: Tumkemee Zitto Kabwe kwa pamoja

    Hizi njaa ndo zimetufikisha tulipo sasa na bado hamuoni kama kuna shida, mnashindwa hata kusimamia vitu vya msingi..mleta uzi ndo wa kupigwa vita ndo ugonjwa wa nchi hii Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Cypher

    Siri nzito iliyofichika kwa Prof. Assad (CAG aliyepita)

    Nyie endeleeni kutujaza ujinga na propaganda mkidhani bado tumelala, endeleeni kukimbia ukweli na kuubadilisha, endeleeni kuwaziba watu midomo na kuwapoteza lakini the truth always prevail soon or later
  7. Cypher

    Nimechoshwa na kuombwa pesa kila siku na vijana

    Yaan pesa utaombwa tu, kuliko kuwasema bora uendelee kuwaombea kwa Mungu, maana wako under a spell amabayo they can not see, hata uwafunguaje macho hawawezi ona kwasababu akili zimefungwa hapa ni kama unapigia mbuzi guitar
  8. Cypher

    RC wa Tanga aagiza Polisi na TAKUKURU wamkamate Mwenyekiti wa TPSF Mzee Shamte kwa ubadhirifu na dhuluma ya Sh. bilioni 54

    Labda viletwe na upepo wa kisulisuli lakini sio kwa serikali hii
  9. Cypher

    Tanzania yalaumu wageni kwa uhalifu, wapanga mpango wa kuwasaka mlango kwa mlango

    Amna chuki hapo bro, ndo ukweli kwa sababu mmezidi kusema watanzania wazembe mara tuna roho mbaya na nyie inabidi muambiwe ukweli ili wote tukae sawa, xenophobia itaishia huko huko, Tanzania hatuna tabia hizo za kijinga
  10. Cypher

    Fursa kwa developers na hackers

    Inafunguka, labda kama haujapata mtu wa kufungulia
  11. Cypher

    Fursa kwa developers na hackers

    Sio rahisi kama mtu ameongeza second layer of security kama two factor authentication
  12. Cypher

    Tanzania yalaumu wageni kwa uhalifu, wapanga mpango wa kuwasaka mlango kwa mlango

    Kabisa na akili zako bado unaona ni sawa huoni kabisa kuna ubaguzi hapo, wakenya mnashida nyingi sana, kwanza bado hamjaacha kubaguana wenyewe kwa wenyewe kwa East africa nyie ndo miongoni mwa watu wenyewe roho mbaya halafu mnapenda kujiona mnachapa kazi lakini amna kitu ni ujinga mwingi ulio...
  13. Cypher

    Ajali ya moto Msamvu inaleta picha ya udhaifu wa vyombo vya usalama

    Wewe sijui ndo umeamka leo tokea juzi
  14. Cypher

    Fursa kwa developers na hackers

    Wewe unaota mchana au Ni Beginner kabisa, mnatumia hizo GUI program ku unlocked iclouds ndo unadhani umehack iphone
Back
Top Bottom