Recent content by Cyber-Mohd Shoty

  1. Cyber-Mohd Shoty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    Me sijui Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Cyber-Mohd Shoty

    JamiiForums Tanzania Diamond v/s Kiba

    Umeshindwa kuelewa kaka.... me nimekwambia kwenye nyimbo na sio kwenye interview... kwenye interview Originality yake uchochezi au kikwazo na haswa km kuna competition na kitu unachokifanya.... ili interview iwe nzuri na muandishi aweze kuuza habari yake lazima kuwe na kubezana na lazima...
  3. Cyber-Mohd Shoty

    JamiiForums Tanzania Diamond v/s Kiba

    Umeongea maneno mengi ila kuna vitu vya muhimu umeviacha.... inawezekana umeviacha kwa makusudi au kwa bahati mbaya..... ukiangalia wazi kabisa jambo ulilongea sina uhakika ni muhimu kwamba team zife ila kimantiki haiwezekani.... kwa sababu ili yawepo maendeleo ya kitu flani lazima kiwepo kitu...
  4. Cyber-Mohd Shoty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TTCL mnachemka tena, ila offer zenu nzuri

    Hapa subiri nieke sawa kidogo tuelewane..... ukiambiwa. Kitu kinatumia 4G.... mana yake ni kwamba kina uwezo wa kutumia 3G pia kina uwezo wa kutumia 2G... ni km speed ya gari ukiambiwa ina speed 140km/h mana yake ina uwezo pia wa kutembea speed ya 80km/h pia ina uwezo wa kutembea speed...
  5. Cyber-Mohd Shoty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Vile vile ina uwezo wa kuchukua hata video zilizokuepo online.... Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Cyber-Mohd Shoty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Videorder application ambayo ina uwezo wa kudownload video sehemu yyt....mpk kwenye facebook hata km huja login kupitia video order..... Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Cyber-Mohd Shoty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Shukran.... sn ... ila ningeomba kuliza.. kuhusu hizi laptop zinazotoa joto na zile zisizotoa joto... Jee ki afya zina madhara tofauti ukiweka kwenye mapaja au zimezidiana... ?
  8. Cyber-Mohd Shoty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania App gani nzuri kwa kuroot android

    Thnx
  9. Cyber-Mohd Shoty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania App gani nzuri kwa kuroot android

    Kuroot ndo nn kwani
  10. Cyber-Mohd Shoty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini sisi wanaume wafupi hatupendwi na wanawake?

    Huna ishu
  11. Cyber-Mohd Shoty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msanii Wa Vichekesho Unaemkubali...

    King majuto
Back
Top Bottom