Recent content by cuth_chris

  1. cuth_chris

    Msaada Github

    Mbona huyu ameandika...mtihani upo wapi hapo. Tuache choyo. Kama hujui bora uvunge ukaview status WhatsApp
  2. cuth_chris

    Msaada Github

    Watu wa JamiiForums bhana...kuzungumziana tuu hamjambo. Kama mtu una nia au unajua kuhusu kitu fulani sidhani kama kuandika ili mtu walau apate idea ni ishu kubwa. Tusiojuaga ndo tunakuwaga na maneno kama haya ya kukatisha tamaa. TUBADILIKE
  3. cuth_chris

    Netflix (Cracked) Haina Kulipia, Bando tu

    Wale wanangu wa Netflix nakuletea mzigo huu hapa. Pata Netflix iliyofanyiwa mambo (Cracked) ambayo hutahitajika kulipia ni Bando lako tuu. Price: Tsh. 5,000/= Call/Sms: 0689 292 800 WhatsApp: 0712 059 611
  4. cuth_chris

    Umewahi kuona kijana ambaye hajihusishi na mapenzi eti mpaka aoe japo kuna wasichana wanaonesha kumtaka?

    True...yamenikuta mzee. Nimepata mapigo ya kigaidi mpaka najuta
  5. cuth_chris

    Msaada: Cant log in into my Instagram account

    Tumia simu tofauti na hiyo yako Sent from my TECNO KC6 using Tapatalk
  6. cuth_chris

    Nauliza tu, Instagram ni jukwaa la kuringisha 'hips' na makalio kwa wadada?

    Takwimu hii ni kwa mujibu wa shirika gani..?? [emoji23][emoji23][emoji23] Sent from my TECNO KC6 using Tapatalk
  7. cuth_chris

    Jeshi la Polisi, Process nzima ya Kulipia LOSS RIPORT kupitia mfumo wenu mtandaoni ni Zigo kubwa kiuchumi kwa Watanzania wanyonge

    Ndo Digital life tunayoelekea...Tukubaliane na hali Sent from my TECNO KC6 using Tapatalk
  8. cuth_chris

    Msaada: Cant log in into my Instagram account

    Reset Passoword Ndugu...Kwenye Login screen nenda kwenye "Get help signing in" kisha endelea na steps Sent from my TECNO KC6 using Tapatalk
  9. cuth_chris

    Msaada Tafadhali juu ya kupiga window

    Beberu, Windows siku hizi zinakuwa kwenye format ya .iso Sasa yawezekana hiyo copy uliyokuwa nayo haijatimia baadhi ya files tena za muhimu. Fanya kudownload nyingine au tafuta mtu ambaye ako na nyingine isiyo na kasoro akusaidie Goodluck..!! Sent from my TECNO KC6 using Tapatalk
  10. cuth_chris

    Kama Umeshakutana na "Postal Code" na Huzijui SOMA HII

    Habari za Asubuhi wanaJamii Ni matumaini yangu mko vyema kabisa. Leo katika pitapita yangu mtandaoni nimekumbana na list ya Postal Codes zote hapa Tanzania. Kwa wale wasiofahamu Postal Code ni nini, Well hii ni namba ya "Utambulisho wa Mahali" na hutumiwa hasa kwenye masuala ya usafirishaji wa...
  11. cuth_chris

    Hali ni Ngumu Sana; Nimeulizwa Swali, Je Christmas ipo Mwaka huu au Imeahirishwa?

    Haya ndo maisha halisi ya kitanzania...mwendo wa kula kwa urefu wa kamba na kuvuna ulichopanda. Tulikuwa tunaekti tuu miaka ya nyuma Sent from my TECNO KC6 using Tapatalk
  12. cuth_chris

    Taarifa kwa mliojiunga application ya Dent: Wekeni strong password kwenye akaunti zenu

    Fact bro...watu wanataka pesa za mtelezo...mbna hamkutaka pesa wakati wa link za dents za bure..?? Bad enough huyo aliyesema "ni 20,000/= tu" nimemdm huu mwezi wa pili hakuwa online sasa sijui alikuwa anatafuta kiki ama veepy..[emoji23][emoji23][emoji23]
  13. cuth_chris

    Taarifa kwa mliojiunga application ya Dent: Wekeni strong password kwenye akaunti zenu

    Wamerudishiwa...[emoji23][emoji23][emoji23] Kucomfirm wanaona haya...!!
Back
Top Bottom