Recent content by CuteAnna.

  1. C

    JamiiForums Tanzania Pendekezo thabiti la Jinsi ya Kukomesha mauaji ya Albino

    unapoteza muda wako bure ndugu,hakuna serikali ya kukusikiliza maana wao ndo wanawaua.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Diamond apata mshtuko deni la mil.800 (TRA WAIKANA BARUA)

    heee kwani kagombana na mkuu wa kaya?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Nape: Dk. Slaa ni Muongo na Mzushi aliyebobea

    Mwanaume mzima huoni mbali,looh aibu kweli,hamuoni utumbo wa ccm wanaume wazima? looooh imebaki kidogo tu mvalishwe khanga.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Walaaniwe

    duh! kwa kweli walaaniwe
  5. C

    JamiiForums Tanzania Msaada Please: Nipo nje ya nchi

    nch gani upo?
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeishi naye miaka 10,anatoka nje ya ndoa, je nifanyaje?

    Wanajamvi nimeolewa leo mwaka wa kumi,sijawahi kutoka nje ya ndoa yangu na nimekuwa namuheshimu sana mume wangu, nikijua anachepuka na kuniletea watoto wa nje nilee. Leo ni miaka kumi imetimia lakini habadiliki, ananionea sana na Mungu kanipa urembo lakini nimechoka kuvumilia kitendo cha...
Back
Top Bottom