Recent content by cute nee

  1. C

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu anataka kuomba mkopo elimu ya juu but mzazi mmoja ana ulemavu aanzie wapi ili apate fomu ya kujaza kuhusu mzazi mwenye ulemavu?

    Habari zenu, Nina binamu yangu kafaulu anataka kuomba mkopo bodi ya elimu ya juu lakini kuna mzazi wake mmoja ana ulemavu wa masikio(kiziwi) katika fomu ya mikopo anatakiwa kujaza taarifa za mzazi mwenye ulemavu ambapo ameshauriwa kwenda hospital ili kupata uthibitisho. Tatizo lipo hapa...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Napenda sana kuwa model

    Nice
  3. C

    JamiiForums Tanzania Challenge: Vocha ya 10,000 kwa mwenye reply/comment itakayokosa kujibiwa

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hi
  4. C

    JamiiForums Tanzania Challenge: Vocha ya 10,000 kwa mwenye reply/comment itakayokosa kujibiwa

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nmecheka sana
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina maumivu makali sana kutokana na kupoteza muda kwenda mkoa mwingine kutoa mahari binti akajificha na kutoweka

    Pole sana.Mshukuru sana Mungu sababu hujajua kakuepusha na nini hapo mbeleni.Ungeweza muoa then yakaja tokea makubwa zaidi.omba sana Mungu akusaidie upate mchumba sahihi kwako Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
  6. C

    JamiiForums Tanzania Nina ulemavu wa kusikia natafuta kazi

    Nina miaka 24
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nina ulemavu wa kusikia natafuta kazi

    Amen asante
  8. C

    JamiiForums Tanzania Nina ulemavu wa kusikia natafuta kazi

    Sawa [emoji120][emoji120][emoji120]
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nina ulemavu wa kusikia natafuta kazi

    Sawa [emoji120][emoji120][emoji120]
  10. C

    JamiiForums Tanzania Nina ulemavu wa kusikia natafuta kazi

    Asante kwa ushauri nimekuelewa ndugu yangu shukrani sana
  11. C

    JamiiForums Tanzania Nina ulemavu wa kusikia natafuta kazi

    Uzuri wa mty upo machoni kwa mtu.Naweza kujibu mimi ni mzuri but machoni kwa watu nikawa mbaya so kwa hili swali jibu langu ni mimi wa kawaida
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nina ulemavu wa kusikia natafuta kazi

    Ameen asante sana
  13. C

    JamiiForums Tanzania Nina ulemavu wa kusikia natafuta kazi

    Asante
Back
Top Bottom