Sababu ni nyingi mno 😂. Ila vijana wa siku hizi wana viherehere 😂 wanatongoza wenyewe sasa ukiongezea shida zako unazopambana nazo kukicha, unajikuta tu, ila ni bahati mbaya 🙃
Kwanza, jamaa alikuwa anataka kuchat kila saa mwanzoni niliona cute ila baadae Ikawa kero, kazi nafanya saa ngapi? Anyway, kumbe alikuwa anataka kujua kila ninachofanya, na taarifa nimpe 🤔. Very odd behavior ila nikasema embu tuone. Siku nilibanwa kazini nilikuwa majukumu balaa, unakimbizana na...
1. Shida yenu mnapenda sana kujitoa fahamu. Tafuta clip mzima uisikilize, amesema kabisa kwa wanandoa wenye maelewano huu sio ujumbe wao. 2. Kama hii imekutouch, ujue inakuhusu! Dunia imebadilika, wanaume wa aina hiyo wapo!
sidhani kama unaelewa kazi ya SIDO. Nenda pale kajifunze kozi fupi fupi za ujasiriamali ndio u-display matokeo yako, maana hizo product zimetengenezwa na wajasiriamali waliofundishwa SIDO. Hizo product sio bidhaa za SIDO, same na mashine.
TARURA ina mchango mkubwa wewe!
ni kwasababu, watu wana trauma za kubakwa na uncle, binamu, shangazi, mama mdogo, kuna wengine walisema lakini hakuna lililofanyika zaidi ya wazazi kunyamaza na kuyamaliza hayo mambo kifamilia kwasababu ya aibu. Na yule mtu aliekufanyia kitendo hicho anaendelea kuwepo humo humo, sasa umekuwa...
Mwenyewe Nina miaka 10 ivi. Iko very interesting bana, meza yangu imepinduka so imebidi nisimamie kila kitu. Nimeelewa kwanini mnaenda bar kunywa, kumbe sometimes sio kwamba mnapenda ni kupunguza mawazo tu maana kuna wakati nasikia kuchizi. Home enyewe ukirudi hata nguvu ya shoo hamna kabisa...
Niliandika hii post nikiwa na machungu sana, nikijua pengine kuna wengi wanapitia ninachopitia. Nafurahi kuwa wengi mmefunguka. Mungu azidi kuwainua na kuwaponya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.