Recent content by Curtis G

  1. Curtis G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anaomba ushauri: Alimuacha mke kwa miaka 9 (bila kumpa talaka kwa ndoa ya kiislamu), sasa anataka warudiane wakati mke alishaolewa!

    Ungekuwa karibu ningekuchangamsha mwili kidogo unatuabisha sana wanaume fala wewe!
  2. Curtis G

    JamiiForums Tanzania Mawazo na ushauri wako vitanisaidia.

    Achukue ushauri huu hii kukimbiakimbia wala haina maana anajitesa tu hata angekuwa na laki tano bado kutoboa hicho kibunda ngumu kwa sababu ana presha mno! Ni kheri arudi akafanye biashara zake huku akilipa kidogo kidogo!
  3. Curtis G

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    0247
  4. Curtis G

    JamiiForums Tanzania Mshahara anaolipwa Chama haulingani na kazi

    🚮
  5. Curtis G

    JamiiForums Tanzania Kuna ulimwengu usioonekana?

    Niliwahi kuripoti kituo cha polisi wiki nzima lakini hiki kituo hakikuwa halisi... Yaani kila fahamu zikinijia nilijikuta tayari nimetoka kuripoti ila sikujua kwa mashtaka gani. 🤔
  6. Curtis G

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

    ungakhathazeki mfowethu..
  7. Curtis G

    JamiiForums Tanzania Treble: kule Man City huku Yanga

    Baadhi mashabiki wa Yanga wapo kama matahira hivi unaijua A treble wewe Labani og
  8. Curtis G

    JamiiForums Tanzania Ni bora aondoke Nabi ila Mayele abaki

    Huyu ndugu kaiweka na Ngao ya jamii ndani kwa kujiamini kabisa anakwambia, Wananchi tumemaliza msimu kwa kubeba treble maara 2 mfululizo... Upande ule wenye matumizi mazuri ya ubongo ni wawili!!
  9. Curtis G

    JamiiForums Tanzania Bila shaka waarabu wataanza kukataa kucheza na Yanga

    Hao waarabu ni wa tabora!!!
  10. Curtis G

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Yanga ndiye bingwa wa CAFCC 2023

    🚮
  11. Curtis G

    JamiiForums Tanzania YOUNG AFRICA 2023 is unforgettable ever ever ever...

    🚮
  12. Curtis G

    JamiiForums Tanzania Vinicius Junior: La Liga imetawaliwa na ubaguzi wa rangi

    Weka wewe kwa Swahili utapanda cheo kazini!!!
  13. Curtis G

    JamiiForums Tanzania Vinicius Junior: La Liga imetawaliwa na ubaguzi wa rangi

    "Waafrika tuache inferiority complex, hiyo tabia ya kucheza cheza akifunga, kujiangusha, kulia Lia na refa ndio inasababisha azomewe. Hiyo fact alipewa na "Koke" ila akaishia kuitwa mbaguzi." Pamoja na yote Ila dogo jana hakutendewa haki kabla ya kupewa umeme kuna tukio alifanyiwa..
  14. Curtis G

    JamiiForums Tanzania FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

    Bahlabane ba Ntwa,namuhla bazokwazi ukuthi abazi ukuthi sizoshaya isigubhu.
Back
Top Bottom