Recent content by Culture the great

  1. C

    JamiiForums Tanzania Zifuatazo ni bei ya bidhaa za Chakula katika maeneo mbali mbali Tanzania,

    Mahindi Gunia sh 95000 bei imeshuka siyo kama kipindi cha nyuma
  2. C

    JamiiForums Tanzania Bukoba vs Moshi

    Acheni kufananisha Moshi na Bukoba aisee. Labda muifananishe Bukoba na Tarakea au Mkuu Mjini ( Rombo) ila siyo Moshi
  3. C

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye ukaguzi wa Polisi katika Ofisi za JamiiForums na Nyumbani kwa Mkurugenzi, Maxence

    Mh kama naona jamaa akilegea na kutaja dadek tutapoteana humu sasa iv.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Clouds Media mnajifanaya wazalendo lakini hamna uzalendo hata nukta!!!

    Ratiba yake ya show iko fixed. Leo yuko Nigeria. Alitoa condition za kuperform na kurudishwa Nigeria usiku huu ikashindikana
  5. C

    JamiiForums Tanzania Lema amgomea Mrisho Gambo kwenye uzinduzi wa ujenzi wa Hospitali ya mama na mtoto

    Mbunge katafuta ardhi, wawekezaji na kabuni mradi bado anaonekana hana maana? Mtoa post hujui issue nzima ilivyo ni bora ukafanya research ndo u comment
  6. C

    JamiiForums Tanzania Watu 14 wa Kundi la Taifa jipya, wakamatwa na jeshi la polisi

    Ajira hakuna, pesa imekuwa shida. Sekta binafsi ambao ndio waajiri namba moja zimekufa. Unahitaji muujiza gani kutoka kwa vijana wa sasa? Ikumbukwe Dar es Salaam haizalishi ziada zaidi ya kutegemea biashara. Ivyo biashara imekuwa ngumu bora tuwe wapole.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Plot for sale 6 Mil (Dar es Salaam)

    Plot inauzwa bei Mil 6 maongezi yapo. Plot ipo Kivule Magore. Ukubwa 35 kwa 38 meter Kina hati ya Serkali za Mitaa na kipo pembeni ya barabara ya mtaa. Kwa maelezo zaidi piga 0769552117
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba ahujumiwa tuzo za Afrimma. siri yafichuka

    Wenzenu WCB na Navy Kenzo wana group zaidi ya 20 za kupiga kura, na kila member wa group anapiga kura 20 kwa siku. Nyie team Kiba mnaishia lawama na kuona mnaonewa. Mziki wa sasa siyo wa mazoea tena. MZIKI UNATAKA YAFUATAYO. 1. Promotion. 2. Good management. 3. Creativity. 4. Team work...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

    Sikatai kuhusu wewe kutumia jina la Daktari wako ila hakukuwa na mkanganyiko wa kitaaluma kati yako wewe na Dk?
  10. C

    JamiiForums Tanzania Sura ya upinzani Tanzania

    Wanajukwaa kiukweli ukiuangalia upinzani wa Tanzania uko katika makundi makuu matatu. 1. Upinzani njaa: Huu upo kwa nia ya kujikomba na kutengeneza platform kwamba upo lakini haupo. Upinzani huu siku zote unapingana na hoja za kimapinduzi na siku zote unakibeba na kukisupport chama tawala.Mifano...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuwaomba watanzania 1,000,000 kushiriki operesheni UKUTA

    Hofu iko wap jamani?
Back
Top Bottom