Bila kupepesa maneno naomba kila mmoja ataje huko alipo bei za mahindi, maharage , mchele zipo vipi , Naanza mimi maeneo mengi niliyofika unga wa sembe kilo 25 ni tsh.38000 wakati gunia moja ya mahindi debe sita iko kati ya 100000 na 120000 hii haikuwahi kutokea sijui kwenu Hali ikoje.