Recent content by CSE howarden

  1. C

    Je, ajira za Benki Kuu ya Tanzania (BoT) zinapatikana vipi na vigezo vyake ni vipi?

    Huu uzi umekaa kuwaponda vipanga kama mlikuwa na uwezo mdogo usiwafanye mjenge chuki binafsi na waliofaulu... Ni kweli hata sasa ajira za BoT zinapitia utumishi ila hio mentality yakuwaponda vipanga kisa mlikuwa sio gifted acheni roho za wivu na chuki
  2. C

    Je, ajira za Benki Kuu ya Tanzania (BoT) zinapatikana vipi na vigezo vyake ni vipi?

    Mkuu umetimiza ndoto zako uniunganishe na mimi na ndoto kama zako
  3. C

    Ni muhitimu yupi UDSM aliyehitimu shahada ya masomo ya Computer anaweza kuthibitisha anajua coding?

    Wapo wengi sana mwamba... Kuna Yange yupo nje, Hassan, Twaha yupo NBC, Shanas, Chaula yani ni wengi mno mimi mmoja wapo
  4. C

    Sawa una First Class degree, una A ya Hesabu na wewe ni best student. So what?

    Yani kila uzi tuliosoma computer science mnatudisi😬
  5. C

    Kwa waliomaliza form 4, kama una roho ndogo usiende kusoma special schools (shule za vipaji maalumu)

    walkuja telecom hawa enzi hizo telecom haishikiki na bado japhe aliongoz (first class honours) ila michael shaka alkuw wakawaida sana
  6. C

    Kwa waliomaliza form 4, kama una roho ndogo usiende kusoma special schools (shule za vipaji maalumu)

    Hapa uongo tupo live udsm coict hapa telecom hata wenye 1-8 tunasoma nao
  7. C

    Kwa waliomaliza form 4, kama una roho ndogo usiende kusoma special schools (shule za vipaji maalumu)

    Tena sana mkuu washafanya physics hesab kemia bios kama kiswahili miaka yetu physics kupata A unajulikana wilaya nzima
  8. C

    Miaka 60 ya UDSM: Mafanikio, Changamoto & Funzo

    Us Kama hujasoma Udsm usilete chuki zako binafsi kusema kwama aliesoma bachelor ya computer engineering au science ukimuuliza hajui hard disc. Umeona wapi au umesikia wapi? Wasomi hatupo hivyo jenga hoja ya maana sio chuki zako binafsi kisa labda hukupata admission hapo au vyovyote vile
Back
Top Bottom