Mtoa mada nenda CMA, kama muajiri hakua na nia ya kuendelea na wewe alitakiwa kukujulisha mwezi mmoja kabla ya mkataba kuisha. Kimya chake kuanzia tarehe 1 hadi hiyo tarehe 8 maana yake aliamua kuendeleza mkataba.
Hiyo alichofanya sasa ni kukufukuza kazi kusikofuata sheria.
Hakikisha una...
Kama uzalishaji utaongezeka, bidhaa na huduma zinazozalishwa lazima zinunuliwe na watumiaji ili mnyororo wa uzalishaji ukamilike. Bado pesa itaendelea kutumia (iwe ya kidijidali au hii tuliozoea ya makaratasi)
Mkuu, nenda kwenye hospitali/kituo cha afya/zahanati wanaotoa huduma za tiba na matunzo (CTC) watakupatia jipime. Kwa sasa ziko za kutumia sampuli za kinywa (oral based ST) na za kutumia damu (blood based ST)
ANGALIZO:
Vipimo hivi vitumika kama 'screening tool' hivyo kuhakiki majibu yako lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.