Recent content by cruzz

  1. cruzz

    JamiiForums Tanzania Jina la mtoto linaloanza na herufi G

    GURUDUMU
  2. cruzz

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu apata dili nono baada ya filamu ya Heaven Sent kumpatia tuzo

    labda aongelee Wowowow lake alipo jionyesha kwenyw maji ..
  3. cruzz

    JamiiForums Tanzania Waraka kutoka Iringa: Sababu za Tundu Lissu kumshambulia Rais Magufuli hizi hapa...

    asante kwa kutufanya watoto wa chekechea ..
  4. cruzz

    JamiiForums Tanzania Harusi ya binti wa Dangote yafana! Yahudhuriwa na vigogo wakiwemo Bill Gates na Jakaya Kikwete

    duuh jamaa kauwaga umaskini rasmi ..
  5. cruzz

    JamiiForums Tanzania Pamoja na umaarufu alionao Wema Sepetu kwanini hana maendeleo yoyote, Anakwama wapi?

    tatizo la wema hakusoma .. na mwanamke mzuri aliyekua hana elimu mwisho wake anaziumiza sehem zake za siri ..
  6. cruzz

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Petitman: Mkongomani Bilionea anayempa 'support' Diamond kifedha

    petitman huyu anae msifia mkewe kutangaza madera .?
  7. cruzz

    JamiiForums Tanzania Wananchi tukipiga kura turudi majumbani tusidanganywe kulinda kura

    rudi tena chekechea ukajifunze tena kuandika .. unaparamia vitu usiovijua .. kichwa maji wew
  8. cruzz

    JamiiForums Tanzania Zunguka Tanzania nzima ukipata mwanamke mrembo kumzidi huyu nidai milioni

    umezuzuka na makeup za usoni .. mambie ajipige picha wakat akitoka kuamka .. kma hukumwona kafanana na beki 3 wako ..
  9. cruzz

    JamiiForums Tanzania Jamani hili la TRA kufunga biashara yangu kwa kutokuwa na mashine ya efd's lipo sawa au ni uonevu uliopitiliza?

    kama umenunua kwa bei hiyo umeliwa mkuu .. ulitakiwa kupewa bure ..
  10. cruzz

    JamiiForums Tanzania Jamani hili la TRA kufunga biashara yangu kwa kutokuwa na mashine ya efd's lipo sawa au ni uonevu uliopitiliza?

    ndugu usiwaongopee watu .. mie hapo PERGAMON unaosema nipo nao hapa .. hizo machine unazo sema wanauza kwa laki 2 c kweli . zile mashine zilkua zinatolewa bure na TRA kupitia wakala wa PERGAMON . ila wafanyakaz wa PERGAMON wakawa wanapiga deal kwa watu wa nje .. ndio wanakuuzia kwa 250k kwa watu...
  11. cruzz

    JamiiForums Tanzania Hata kama ni kuswali, ila huu si Ustaarabu jamani

    wew heradius .. unalalamika waislamu kufunga barabara kwa dakika 10 ya cku 1 ndani ya week .. je hao wanapiga mzika na maspika wanatembea nayo wanakaa usoni kwa dukani kwa watu hapo hapo kariakoo alaf kila cku,, mbna hulalamiki kma wanakutilia makelele
  12. cruzz

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro asema Polepole siyo CCM, adai yeye ( Muro) uwezo wake ni zaidi ya wabunge 10 wa Chadema!

    usidandie gari kwa mbele ndug ,, utagongwa
  13. cruzz

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro asema Polepole siyo CCM, adai yeye ( Muro) uwezo wake ni zaidi ya wabunge 10 wa Chadema!

    hamjamuelewa huyo anty Muro .. kamaanisha yeye uwezo wake sawa sawa na Mashoga 10 ..
  14. cruzz

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Lowassa kwa haya yaliyotokea uchaguzi mdogo wa Udiwani ni maana yake?

    wew ulitakaje .. na yeye akashike panga au .?
Back
Top Bottom