Recent content by crug

  1. crug

    Oldschool:Msaada wa hizi nyimbo University Corner(UVC)-Usinicheke,Waswahili-Yupi Bora kati ya ndugu na rafiki

    Ahsante mno mkuu, nimezitafuta sana bila mafanikio nyimbo hizi, thnx mno mkuu
  2. crug

    Oldschool:Msaada wa hizi nyimbo University Corner(UVC)-Usinicheke,Waswahili-Yupi Bora kati ya ndugu na rafiki

    Naomba kama unayo nyimbo ya TNG squad inaitwa like that, samahani kwa usumbufu mkuu
  3. crug

    Oldschool:Msaada wa hizi nyimbo University Corner(UVC)-Usinicheke,Waswahili-Yupi Bora kati ya ndugu na rafiki

    Ubarikiwe mno mkuu ,naweza nikakuomba moja ya mwisho ?
  4. crug

    Oldschool:Msaada wa hizi nyimbo University Corner(UVC)-Usinicheke,Waswahili-Yupi Bora kati ya ndugu na rafiki

    Mkuu samahani, unaweza ukawa nayo nyimbo ya CP featuring Dully Sykes?
  5. crug

    Je, huyu ni kahaba au mke?

    Humuelewi kivipi mkuu,funguka tukusaidie
  6. crug

    Jinsi ya kuangalia movie or music kupitia simu tu video

    Kwani unatumia simu gani mkuu? Tuanzie hapo kwanza
  7. crug

    Mwenye kioo cha iphone 4

    Jamani natafuta kioo cha iphone 4, kiwe kipya au used ningependa uweke na bei yako kabsaa, au hata mwenye kua nayo yenye apple id lakini kioo kiwe kizima . Natanguliza shukrani
  8. crug

    Tigo ndio kimbilio tu

    Bure ni gharama sana
  9. crug

    Tatizo la iCloud kwenye iPhone 4s, naomba msaada

    Inategemeana na os iliyo kwenye hyo cm, vingnevyo baypass uitumie kama iPod
Back
Top Bottom