Recent content by Cruel conman

  1. C

    Usimpe mwanamke nafasi ya kuongea/kujitetea

    Haya ni maneno yanayojirudia sana kichwani kwangu baada ya kuambiwa na mwanamke anayejiweza kwa IQ na EQ miaka kadha iliyopita.
  2. C

    Ukistaajabu ya single maza unakutana na ya watoto wa single maza

    Ukistaajabu ya single maza kama yalivyo kwenye uzi wa Record Man Unaosema: Ushuhuda mwanaume mwenzenu: Nilioa Single Mother yalioyonikuta ni haya. Nilichukua uamuzi huu...
  3. C

    Expert Members wengi wanaongoza kwa reply za hovyo tofauti kabisa na expectation zetu

    Kwa JamiiForums na tarajia expert member's ndo mfano wa kuigwa but reality ni tofauti kabisa unakuta mtu kapost uzi very serious then Expert member anakuja kupost reply iliyojaa pumba tupu why is that happening
  4. C

    Vijana mnarogwa na nani kwenye biashara?

    Tunajua kwa exposure uliyopata kwa kusoma una expect vitu vikubwa huku ukisahau kwamba nidhamu ya fedha ndo kila kitu kwenye maisha ya biashara na ndo maana biashara nyingi zinafilisika Mimi hainiingii akilini kabisa inawezekana vipi kijana msomi una degree yako safi unaua biashara ya duka ya...
  5. C

    Hii hali inanipa upweke sana nimejitahidi kuikwepa lakini wapi

    Hapo kazi ipo mzee dates zingeenda kwenye 23 nakuendelea ningesema ni normal but hapo sio normal una tatizo la kutrust watu, kusocialize na watu tafuta what went wrong kwenye ukuaji wako malenzi and so on jibu lipo kwenye past yako
  6. C

    Hii hali inanipa upweke sana nimejitahidi kuikwepa lakini wapi

    TheForgotten Genious ungetuambia your birth date and month maana hiyo ina matter sana kwenye kusolve hii mystery yako
  7. C

    Impeachment iliyofanyika Kenya jana ilitakiwa iwe imeshafanyika nchi fulani

    Kuna siku unaota mpaka unashangaa mbona unaota vitu vikubwa namna hii, 1. Ghafla mihimili imeanza kufanya kazi kama katiba inavyotaka ikiwa pamoja na kuwajibishana na sio kukutana mara kwa mara bila sababu za msingi za kikatiba 2. Nikaota tena kuwa Wetangula ndio spika wa bunge la nchi hiyo...
  8. C

    Chunusi na vipele vinanisumbua .

    Hapana ni dawa kabisa ya hospitali
  9. C

    Chunusi na vipele vinanisumbua .

    Nunua dawa inayoitwa Benzoyl Peroxide gel 2.5% paka usoni kila siku unapoenda kulala baada ya kusafisha uso vizuri na sabuni ambayo sio medicated soap
  10. C

    Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

    Najua nini unapitia, najua hata ukipewa ushauri hautausikiliza maana haukufai. Niseme tu Sikio la kufa ndo halisikii dawa Usitake kupita njia ngumu nenda hospitali watakupa dawa uendelee kula maisha kijana
  11. C

    Je, ni kweli Mtu anapaswa kuwa uchi ili apigwe x-ray?

    Namwelewa mtoa mada consern yake ni kwamba mionzi ya x-ray haipiti kwenye kanga wakati ni nguo nyepesi? Binafsi nipo bega kwa bega na mtaalam wa mionzi mpaka hapo alipomwambia avae kanga maana ni nguo nyepesi lakini hilo la kufungua kanga naomba huyo mtaalam aje atuambie kinaga ubaga
  12. C

    Nilipata maambukizi ya 'gono' wiki chache zilizopita, nimetumia dawa ila zimedunda. Naombeni mawazo yenu

    Ndugu mwana jamii forum unajisikiaje baada ya kuchoma cefriaxone kila mara unapoumwa UTI gono na magonjwa mengine ambayo ukienda vichochoroni kimbilio lao ni ceftriaxone. leo umekula za siku tano zimedunda unahaha tupe stori kidogo hiyo dawa umeitumia mara ngap na uliitumiaje, pia nataka kujua...
  13. C

    Nifanyeje wanangu wawe na akili nyingi darasani

    • Vipi mama yao alikuwa anabugia Pombe or aliabuse dawa yoyote ile wakati wa ujauzito? • Walipozaliwa wali-score ngapi? • Katika ukuaji wao wamewahi kupata magonjwa yapi na vipi wameshawahi kupata ajali? Kama ipo ilihusisha nini • Baada ya hapo ndo tuende kwenye kurithi hizo akili na laana za...
Back
Top Bottom