Habari ndugu wa JF.
Natafuta Mwalimu mwenye combination ya masomo ya lugha (Kiswahili na English). Shule ipo maeneo ya Bukoba, hivo wakazi wa maeneo ya Bukoba na jirani tafadhali wasiliana na uongozi kwa namba +255629327589, School administrator.
Asanteni
Competition ni kubwa mno, kwa hesabu ndogo tu, uwiano wa waombaji na wanaohitajika yaweza kuwa hata 1:15... Kila nafasi moja ya ajira inagombaniwa na watu 15... Najaribu kuwaza kwa sauti
Well said... Nliwahi comment juu ya hii issue ya ajira, ni bora kusahau na kuashum kama hakuna kitu kitakachotokea. You were required to apply and you did so. Ko ni bora kuendelea kuhangaika kivingine, ikitokea kwa bahati ukawamo inakuwa huna ulichopoteza.
Haikufika mwezi, ajira waliomba kuanzia tar 22/08 hadi 31/08 na tar 23/09 wakaitwa kazini... Then, huo ni mtazamo wangu, kama una wa kwako tofauti share kama walivoshare wengine
Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.