Crownjunioral
Member
- May 8, 2016
- 47
- 16
Very impossible... Applicants ni wengi sana, hivo, kuna uwezekano mkubwa sana ukakuta ajira zimetoka, we haupo na hata rfk zako wa krb hawapo.Kabisa mkuu na ndicho nilichoshauri hapo juu ni baada ya vijana kuwa na hamu na matokeo ya ajira hizi ambazo zitakua kua na maumivu makali kwa vijana wengi.
Labda kama siasa itatumika wawaajiri wote walioomba na kitu ambacho hakiwezekani.