Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Crownjunioral

Member
May 8, 2016
46
95

Attachments

  • Screenshot_20201017-173706.png
    File size
    84.7 KB
    Views
    0

Da Gladiator

JF-Expert Member
Aug 3, 2020
827
1,000
Ww nae huelewi,kuna post hapo nyuma umesema zinatoka 26 oct,hapa tena umebadilisha kulikoni kwani?
Ha ha ha ha, Mkuu wameshachagua sema kinachosubirishwa ni timing tu.

Hivo mkuu anaweza kuwa sahihi, maana wakiona kuna madhara kutoa wakati huu, basi itawalazimu kusubiri pilikapilika za uchaguzi ziishe.

Hakiwi kitu mpaka Yesu aridhie, kama ipo ipo tu, japo 'Connection' ni muhimu na huongeza 'pissibilities'

Siasa ni Maisha.
 
Mzaleee

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
1,089
2,000

Unaweza kuwa sahihi lakn nilichokingundua kwenye hii thread kumejaa matapeli.
 
Da Gladiator

JF-Expert Member
Aug 3, 2020
827
1,000
Unaweza kuwa sahihi lakn nilichokingundua kwenye hii thread kumejaa matapeli.
Unaweza kuwaita matapeli kwasababu hawataongea ukipendacho.

Ila kama kuna mtu atadiriki kutapeliwa kwa pesa/mapene katika suala hili LA Ajira, ambalo ni Pasua kichwa. Itabidi apimwe akili.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom