Recent content by Crouch88

  1. Crouch88

    Kwanini mikutano ya CHADEMA kwa sasa haina MVUTO?

    Mmh watoto wengi..
  2. Crouch88

    Kurugenzi ya Habari CHADEMA, Tafadhali kuweni makini na watu kama hawa...

    Inatakiwa akubali kosa kwa upotoshaji,then aombe msamaha nadhani hii itaonesha jinsi gani alivyokomaa
  3. Crouch88

    Kurugenzi ya Habari CHADEMA, Tafadhali kuweni makini na watu kama hawa...

    "Kuwa nadhifu uwezavyo,lakini kumbuka siku zote ni vizuri zaidi kuwa mwenye busara kuliko kuwa nadhifu"-ALAN ALDA
  4. Crouch88

    Kurugenzi ya Habari CHADEMA, Tafadhali kuweni makini na watu kama hawa...

    Eti,sorry Mwl J.K Nyerere ni ndugu yako..?
  5. Crouch88

    Hivi mh. Mbowe umeturogea wapi wanaCHADEMA

    Umesema kweli, ila wenye mahaba nao utawasikia watakavyo KUTAPIKIA hapa.:mod:
  6. Crouch88

    Hauwezi amini, JK amekaa miaka zaidi ya miwili nje ya nchi kati ya miaka 9 aliyo kaa madarakani

    Hili ndio tatizo la vijana walio wengi wa sasa hapa Tanzania walio na mahaba na watu flani. Mimi naona mleta mada inatakiwa atuambie hivi Raisi anaweza kuzusha tu safari nje ya nchi pasipo na Mwaliko? Naomba akasome na ajue na data kamili ili kudhibitisha hili. Sio umemezeshwa huko ktk majukwaa...
  7. Crouch88

    Wabunge wa CCM tuambieni mnachokimbilia kuwa Mawaziri

    acha chuki binafsi,sasa unataka wasichaguliwa? unataka wachaguliwe wabunge wa Upinzani?
  8. Crouch88

    UCHAGUZI CHADEMA: Ratiba yatoka Rasmi

    Wametubu...
  9. Crouch88

    Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    Leo TBC inaumuhimu daah,...wakat kunawa2 walisema hawata tazama TBC kamwe Hahahahaaaaa
  10. Crouch88

    Zitto: Namsubiri Mbowe Mahakamani

    Ndugu achana nao hayo mabavicha yameshalewa gongo,hivi yanaenda makao makuu kuwaandalia chai Dj,slaa
  11. Crouch88

    Zitto: Namsubiri Mbowe Mahakamani

    Wanapigania SACCOS ya mzee Mtei..a.k.a 'chadema chumbani'
  12. Crouch88

    Zitto: Namsubiri Mbowe Mahakamani

    Yan wewe boya kweli.! Utakuwa umemsahau wewe na ukoo wako na sio Tundu Lissu,DJ, na Mzee wa Gongo 'MDS'
  13. Crouch88

    Prof. Mwesigwa Baregu: Mzozo wa CHADEMA unatokana na wanachama.

    Haina haja ya kujaa povu, kwann msimfukuze tu?
  14. Crouch88

    Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi aonya vurugu CHADEMA

    Tatizo la kuandika utumbo ukiwa umeshalewa 'GONGO'....
Back
Top Bottom