Recent content by criziki

  1. C

    JamiiForums Tanzania Walimu wa shule ya Ivumwe High School Mbeya inayomilikiwa na CCM, wafanya mgomo kudai mishahara yao

    Huyo ni mhuni kama yeye. Hajatumwa na chama ndo maana akaondolewa
  2. C

    JamiiForums Tanzania Walimu wa shule ya Ivumwe High School Mbeya inayomilikiwa na CCM, wafanya mgomo kudai mishahara yao

    Hiyo Ivumwe ina mkuu wa shule mhuni sana. Yuko pale anatengeneza fedha na hataki kuguswa. Alikuwa analindwa na Katibu mkuu wa Jumuiya ya wazazi aliyepita. Baada ya Ally Hapi kutokuwa na mchezo hasa kwenye makusanyo ya fedha, mkuu wa shule huyo ndo kutengeneza mgomo feki na kuita media.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Walimu wa shule ya Ivumwe High School Mbeya inayomilikiwa na CCM, wafanya mgomo kudai mishahara yao

    Wahuni hao ilibidi wachapwe fimbo za makalio. Ni njama za mkuu wa shule kumchafua mwajiri wake Katibu mkuu mpya. Haiwezekani walimu wakagoma. Tunaujua mchezo anaoufanya na atachunguzwa.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi Iran labainika halikuwa la asili bali majaribio ya silaha za kinyuklia

    Hii vita tinaishabikia ila madhara yake yatatufika. Mafuta ya Iran yakilipuliwa sisi huku tutalia
  5. C

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi Iran labainika halikuwa la asili bali majaribio ya silaha za kinyuklia

    Hakuna kitu. Propaganda za kitoto. Watulie wakione cha mtema kuni
  6. C

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ufisadi Mitihani Shule za Wazazi CCM

    Kwa miaka 3 sasa shule za wazazi-CCM zimekuwa zikifanya mitihani ya kitaifa. Zoezi hili limekuwa na ufanisi na limezirudisha shule za CCM kwenye ufaulu mzuri. Hata hivyo kuondoka kwa Katibu Mkuu, Gilbert Kalima kumekuwa pigo kubwa sana kwa shule za wazazi na CCM. kwa sasa shule zimebakia...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mgeni anakaribishwaje JF

    Nashukuru kupokelewa hapa
Back
Top Bottom